Hizi mvua Dar vipi jamani?

Bora umsaidie kujua hilo[emoji848].Kwani anaweza kugeuzwa shamba la kuvuna akijua ni wale wale[emoji23]
Wahuni sana wale wanataka pombe na pesa kwao kupigwa mabusu sio hawataki kabisa

USSR
 
Watu wa Daslam mnaogopa na kukimbia mvua barabarani kuliko hata magari...🀣
 
Alafu simlisema kwamba yule baba alikata miti milioni nyingi na mvua haitonyesha...πŸ€” Na nimeona hadi mama ameamua kukatisha hotuba chap kwaajili ya mvua...😜
 
Ukiwa unakula papuchi na hii mvua utamu wake haupimiki, acha inyeshe tu tuendelee kupewa viuno.
 
Haka kamvua saiz ningekuwa nishakimbilia kumzagamula mtu , ila sasa hivi nimekuwa mvivu sana akili ipo kwenye namna ya kuzisaka hela- the more they come is the more am addicted kuzisaka zaidi.
😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…