Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Aiseee kobazi
Ni hatari kuhukumu mamilioni ya watu kwa matendo ya baadhi ya watu. Biblia yenyewe inasema:
“Msihukumu, msije mkahukumiwa.” (Mathayo 7:1)
Pia Yesu alisema:
“Mpende jirani yako kama nafsi yako.” (Mathayo 22:39)
Kama tunakosoa dini fulani, tukosoe mafundisho au matendo maalumu kwa ushahidi, si kuwashambulia waumini wote. Kila dini ina watu wema na wabaya; tabia ya baadhi ya wafuasi haiwakilishi waumini wote.
Kafie mbele.An insult isn’t a substitute for a point, If that’s the best you’ve got, try again
It’s always amusing when people run out of arguments and start describing their own behavior by accident
Ukiondoa siasa DINi ni genge la wahuniMwanadamu bila dini anaishi kama mnyama.
Mimi nikiwa rais wa taifa hili, nitahakikisha wananchi wote wanabatizwa na kuipokea Habari Njema ya Uzima.