Hizi ndege zinazotengenezwa Tanzania zinauzwa bei gani?

natamani zingetengenezwa bila kuwepo mzungu. hata hivyo, tunanunua uzoefu, tutajifunza toka kwao. ndege hizi kama ni effective, zitasaidia sana ndani ya nchi.
 
Matumizi ya hizi ndege ni nini? Zinabeba watu wangapi?
Watu wawili. Hasa kwa ajili ya mafunzo. Dharura, tafiti nk. Pia wanampango wa kuunda za twin engines ambazo zitakuwa kubwa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…