abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Kwa mpira anao upiga kijana itoshe kusema kua sisi Wana nchi tumekubali kua mwaka huu ama zetu ama zao
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Another Yikpe
Kwa mpira anao upiga kijana itoshe kusema kua sisi Wana nchi tumekubali kua mwaka huu ama zetu ama zao
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
AhahahHakuna mchazaji mbaya YouTube ,,hata simbomana wa you tube ni zaidi ya huyo
Hahahaha, km nimekuelewa vile Mkuu,haya maoni yako yamemtazama vzr, naomba nikuunge mkono ktk hiliKwenye hizi video zote sijaona hata video moja kaonyesha uwezo binafsi wakukusanya kijiji,kupunguza mabeki,kama anvyofanya Chretos Chama.
Magoli mengi ya kwenye hizi video kafunga kwa ubovu wa magolikipa na kuvizia.
Huyu dogo hana nguvu kabisa,mpira wa bongo ni purukushani siompira wa one touch.
Ajiandae kukutana na Mzee Onyango,Juma Nyoso na wakina Jonas Mkude.