Hizi ndio barua za mandela alimwandikia winnie akiwa jela

Nilitamani niiweke siasani lakini moderators wana mtindo wa kuhamisha uza zangu;
ndo maana nikaja huku nyumbani.

Niulizie chama kama anaweza kuniandikia barua kama hiyo
naye simwoni hapa nyumbani yapata miaka sasa;

hii habari ni ya kumbukumbu muhimu, sijui kwa nini mama ameiweka hapa cc.
 
Last edited by a moderator:

Kimsingi Winnie amechangia sana kwenye Uhuru was Africa kusini
 
Nakubaliana na wewe;
Na siku winnie ajitoe akili na ujasiri wake agombe urais
matokeo tutayaona hapa hapa.
Kimsingi Winnie amechangia sana kwenye Uhuru was Africa kusini
 
Hata mzee hakujua thamani ya penzi la winnie?

Swali halijibiwi kwa swali !
Nway Madiba alijua thamani ya Jewellers (Winnie) na ndy maana alifanya hayo! Kuthamini Kito chake!
Unfortunate aina ya Ndege Babu aliyedhani yu'katika category ya "domesticated birds" kumbe hakua miongoni mwa Ndege wafugwao !
Kwaheri .
 
Nilitamani niiweke siasani lakini moderators wana mtindo wa kuhamisha uza zangu;
ndo maana nikaja huku nyumbani.

Niulizie chama kama anaweza kuniandikia barua kama hiyo
naye simwoni hapa nyumbani yapata miaka sasa;
Mamndenyi
Kuandika tu? Ukiutaka Moyo wangu nauchomoa tu kama kufa acha nife
 
Last edited by a moderator:
2014 nilikuwa na akili akili kidogo. Miaka imekwenda wapi Mamndenyi ?

Rest in Paradise Winner Mandela.
 
Mwanadamu ni tofauti kidogo na mvinyo, kadri unavyodhidi kuwa na umri mkubwa ndivyo unavyodhidi kuwa na akili za kitoto.
2014 nilikuwa na akili akili kidogo. Miaka imekwenda wapi Mamndenyi ?

Rest in Paradise Winner Mandela.
 
Tusiojua kingreza unapofika wakati kama huu huwa tunafadheheka sana unaanza kusoma chini ukipandisha juu ukiona hupati kitu unaanza kusoma kulia kwenda kushoto mwishowe unatafuta Neno moja moja kutafuta ambalo unaweza ukaliotea
 
Heeeeeh barua ilikua na maneno makali mnooh, RIP Madiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…