Hizi ndio bei za jumla za mbao size zote Wilaya ya Njombe

Muuzaji Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
893
Reaction score
2,001
Habari za muda huu,

Leo sina maelezo mengi nimekuwekea mkeka wa bei za jumla za mbao size zote kwa wilaya ya Njombe kwa wafanyabiashara wanaotaka kujumua na kwenda kuuza mikoa mingine kama Dar es salaam, Dodoma, Mtwara, Pwani


BEI ZA MBAO KAVU

• 2×2 Futi 12 ~ 1,000/=
• 2×3 Futi 12 ~ 2,300/=
‎ •2×4 Futi 12 ~ 3,300/=
‎ •2×6 Futi 12 ~ 4,300/=
•1×4 Futi 12 ~ 1,000/=
‎•1×6 Futi 12 ~ 2,600/=
‎•1×8 Futi 12 ~ 4,300/=
‎ •1×10 Futi 12 ~ 9,000/=


GHARAMA ZINGINE ZA MUHIMU

•Usafiri

•Kupakia: 150,000/=

•Ushuru wa mbao: 3% ya manunuzi

•Ushuru wa magogo:

•TP: 15,000/=

•20% ya TP: 3,000/=

•TRA: 2% ya manunuzi

•Barua ya serikali ya mtaa: 5,000/=

•Mizani: 15,000/=

•Kukodi leseni ya biashara ya bidhaa za misitu: 150,000/= (Kama huna)

•Emergence cash: 100,000/= (Kiwango cha chini)

MUHIMU: Kama unaagiza au unakuja wewe mwenyewe kujumua mbao basi zingatia hivo vipengele hapo juu.
Your browser is not able to display this video.


MAWASILIANO

0748874928
(Piga/sms/whatsapp)
 
Bei ni nzuri sana ila mpaka zifike napotaka labda nitembee na escort ya kazi maalum
 
Kwa uzoefu wako gari Moja(lorry) linauwezo wa kubeba mbao za 2*4 kiasi Gani?
 
Brother nakuja na Fuso la Miguu 10 niandalie mzigo wa kutosha naupeleka SGR Mkoani Dodoma
 
Na hizi mvua mbona hapapitiki

Bei zenu ni nzur ila mmepandisha hizo mia mbili mbili sababu ya Hali ya hewa ama ??
Kipindi cha mvua kubwa kama hii bei za mbao huwa juu kidogo kwasababu uzalishaji na ukaushaji ni changamoto.
 
Kama ni semi ya Tani 30 zinaingia pc 3900 hadi 4100 itategemea ukavu wa mbao zenyewe.
Gari zima 2x4 = 13m
Ushuru 500k
Kupakia 150k
Dharula 100k
Total 14m

Sokoni
Mbao 4000x 6000= 24m
24- 14 = 10m
Usafiri 2m
10-2 = 8m
Net profit 7m kwa lorry zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…