Muuzaji Mkuu
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 893
- 2,001
- Thread starter
- #21
Wachaaaa weeee!Gari zima 2x4 = 13m
Ushuru 500k
Kupakia 150k
Dharula 100k
Total 14m
Sokoni
Mbao 4000x 6000= 24m
24- 14 = 10m
Usafiri 2m
10-2 = 8m
Net profit 7m kwa lorry zima
Kwa uzoefu wangu binafsi wafanyabiashara wengi wanaonunua semi zima wanalenga mzunguko wa haraka hivo huuza kwa bei ya jumla
•Mfano huo ubao wa 2×4 hadi unafika dsm utakuwa na thamani ya Tsh 4000/= hadi 4200/=
•Bei ya jumla mara nyingi kwa 2×4 ni 4600/= hadi 4700/=
•Tufanye hivi ameuza kwa 4600/= na mpaka unafika dsm thamani yake ilikuwa 4200/=
•Unakuta faida halisi kwa ubao mmoja wa 2×4 ni 400/= tu
•Mfano tuseme gari ilipakia pc 3900 maana ake faida ya gari zima ni 3900 × 400/= ambayo ni 1,560,000/=
•Kiuhalisia weka minimum faida kabisa isiyo na makando makando 1,300,000/= kwa gari nzima kama utauza jumla
•Mzunguko wa haraka ndio kila kitu kwenye hii business mfano kwa mwezi ukiweza kupambania ulete trip 4 inakuwa vizuri sana.
•Ila kama upo na hardware yako na huoni shida kukaa na stock mda mrefu unaweza kuuza hizo bei kubwa kubwa kama 5000/=+ ili upate faida kubwa.
Asante