Hizi ndio dalili za kuwa wewe ni Domo zege!

Hizi ndio dalili za kuwa wewe ni Domo zege!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!

2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!

3;Kuonga kupita kiasi

4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.

N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa!
 
Back
Top Bottom