Hizi ndio dalili za kuwa wewe ni Domo zege!

Siku hizi usipokua na hela ndo domo zege, ila kama una chapaa hata kutongoza hutongozi unakula tu. Wadada ndo walipotufikisha huku siku ya kwanza ya pili anakuomba laki tutafanyaje sasa kama sio kuwaogopa.
 
Hela ndiyo kila kitu ukiwa na pesa udomo zege unapotea wenyewe
 
1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!

2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!

3;Kuonga kupita kiasi

4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.

N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa!
Huyu Mimi kaabisaaa
 
Upo nje ya muda mkuu.
 
Back
Top Bottom