EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Kumbe wote wako sawa tu.Beauty lies in the eyes of the beholder
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wote wako sawa tu.Beauty lies in the eyes of the beholder
Yawezekana wako tofauti sema tunatofautiana uono kila mmoja ataona kwa upande wake kila mtu yuko na vipaumbele vyake.Kumbe wote wako sawa tu.
Ni kweli. Basi kumbe hakuna mwanamke mzuri na mbaya.Yawezekana wako tofauti sema tunatofautiana uono kila mmoja ataona kwa upande wake kila mtu yuko na vipaumbele vyake.
Sent from my SM-N910T using JamiiForums mobile app
Hayupo. Kila mtu si ana uono wake. Mbaya kwako mzuri kwa mwingine. Mzuri kwako mbaya kwa mwingine. Ni hitaji tu.Ni kweli. Basi kumbe hakuna mwanamke mzuri na mbaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayupo. Kila mtu si ana uono wake. Mbaya kwako mzuri kwa mwingine. Mzuri kwako mbaya kwa mwingine. Ni hitaji tu.
Kidogo[emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko vizuri mummy.
Hela siyo kila kitu labda makahaba.Hela ndiyo kila kitu ukiwa na pesa udomo zege unapotea wenyewe
Ati nini?Kwani demu mzuri ni yupi!? Mbona mie nawaonaga wote wapo kawaida.
Hiyo limbwata sio demo zegeDah kama mimi sikuizi nimekuwa domozege mpaka demu mmoja akaniambia "why are you like this,cant you say somethin"
Hujui kitu badoKwani demu mzuri ni yupi!? Mbona mie nawaonaga wote wapo kawaida.
NI kweli, mimi ni mtoto wa mama.Hujui kitu bado
DuhMimi ndo nimekuwa domo zege wa kupitiliza naweza ishia kusema Yesu anakupenda
Huyu Mimi kaabisaaa1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!
2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!
3;Kuonga kupita kiasi
4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.
N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa!
Upo nje ya muda mkuu.1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!
2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!
3;Kuonga kupita kiasi
4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.
N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa!