Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Kwani kuna malaika wa kike na kiume mkuu
 
Danganya wajinga wenzio. Siku izi watu wavivu na wajinga wakiona mtu anapata mafanikio tayari wanasema free mason. Mtakalia majungu wenzenu wanapiga kazi na kumake money.
 
Kama wao ndio wameanzisha dini, kwa nini sasa waweke utaratibu wa fungu la kumi ilhali wakijua kwamba wapo against nalo
 
Swala la pope kuwa member wa illuminate lina ukweli?
 
Swala la pope kuwa member wa illuminate lina ukweli?
At apex level there is a Pope as Supreme leader. Then; there are

City of London and
Columbia District (here you get Fed Reserve of America).

Wanaofuata chini huko hao ni ma agents tu.
 
HIVI unaujua Uislam au unaongea hivi unajua kama Qur'an imegusia hizo dini za kuabudu mungu wa jicho moja ? (Wakati nyie mkiita Freemason, iluminati na bla bla) katika Qur'an kiongozi wa hao wote anaitwa kwa jina la Masih dajjal ambae ina jicho moja tu, huyu na wafuasi wake ndo watakaokuja kupigana tena na Nabii Issa atakaporudi, na hapo ndo utakuwa mwisho wa dunia, hawa Wafuasi wa Massih DAJAL (freemason na Illumati) watakuja kuwa na nguvu mno, Qur'an imeelezea yalopita, yaliopo na yajao bila shaka, wakati nyie mmekuja ijua miaka ya hivi karibuni hii dini tayari Qur'an ilishaelezea na tukapewa na dua ya kujikinga na hawa Masih dajal na nembo yao ni mtu mwenye jicho moja, ambae pia kwenye Qur'an ameelezewa, acha kudanganay kama wanakimbilia kwenye uislam sabab hamna sadaka, wanakimbilia huko sabab ndo sehem pekee salama, wale wafuasi wanawajua, wafuasi wenzao mapapa na mapadre wanakutana kwenye mikutano halaf atakimbiliaje kwa wafuasi hao hao, Michael Jackson anaenda kanisani anamkuta padre wake, akirudi kule kwenye dini zao anamkuta, unadhani akitaka kujitoa atakimbilia kanisani tena?? tafakari sikilia ile documentary vizuri na jinsi dada yake Michael Jackson alivyokkuwa akijibu kwamba Michael aliona sehemu salama ni uislam pekee na si yeye tu, wote wanaojitoa huko ukimbilia kwenye uislam, tafakar.....

huyu :desidery huna lolote ulijualo unapapasa uoni, utasoma vitabu vilivyo tiwa mikono naku tafsriwa na hao hao magharib shetninzm!
 
Ni sahihi kabisa hasa ktk zama hizi za utandawazi .
Iyo ni opinion. Fact je zipo wapi?
 
WEWE MUONGO,KATIKA UISLAMU KUNA MAMBO MATANO YA LAZIMA MOJAWAPO NI KUTOA ZAKA.ACHA UONGO.
 
Hivi mkuu nabii issa ndio yesu? Na kama yeye kumbe mna aamin atarudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…