leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
ili nikubaliane na wewe leta data za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna malaika wa kike na kiume mkuuhawa jamaa nimesikia kuwa wana uhusiano pia na wale malaika walioshuka kutoka mbinguni na kuja duniani na kuzaa na binti za binadamu baada ya kuona totoz nzuri-nzuri duniani
imagine the disaster baada ya kutoa offspring kati ya binadamu na hao malaika
Kama wao ndio wameanzisha dini, kwa nini sasa waweke utaratibu wa fungu la kumi ilhali wakijua kwamba wapo against naloMwanzo nilishasema kuwa freemasons walikuwepo kabla ya ukristo ma uislam. Wakati huo dini ilikuwa ni imani moja kuelekea Mungu.
Freemasons walianzisha mpango wa kuiteka dunia wakipinga imani ya dunia kuelekea Mungu.
Freemasons wanatumia akili sana. Ndipo ukaanzishwa mpango dini badala ya imani.
Ndani ya dini kukawekwa madhehebu..
Nirudi kwenye point yako.
Uislam haipingi freemasons wala ukristo haupingi freemason. Ndani ya uislam kuna freemason na ndani ya ukristo kuna ufreemason.
1. Freemason ndio waanzilishi wa ALAMA.. Ndio maana kila dini kuna LOGO. Ndani ya uislam kuna mwezi na nyota.
Kwanini unadhani freemason hukimbilia uislam? Kwasababu
1. Ukristo humtaka tajiri atoe sehemu ya mali yake aipeleke kanisani.. Au fungu la kumi huhimizwa sana ulipeleke kanisani.
2 uislam ni hiari kutoa msikitini. Ndio maana misikiti mingi hujengwa na aidha na mtu mmoja tu yaani hakuna kuhizana juu ya matoleo.
Matajiri wengi ni mabahili. Na waumini wengi hawapendi mambo ya kutoa sadaka.. Ktk ukristo sadaka husisitizwa.. Ktk uislam sadaka ni kama hiari.. Na misikiti humilikiwa na mtu binafsi.
Hii ndio sababu hasa unaodhani ni mafreemasons matajiri hukimbilia uislam wakihofia kutoa sadaka na fungu la kumi vitapunguza utajiri wao. .
At apex level there is a Pope as Supreme leader. Then; there areSwala la pope kuwa member wa illuminate lina ukweli?
Swala la pope kuwa member wa illuminate lina ukweli?
Ni sahihi kabisa hasa ktk zama hizi za utandawazi .Kweli Mkuu, ila watu wengi hatusomi kwasababu tushakuwa controled mind kuna kitabu kinaitwa "the biggest secret in the world " jamaa wanaainisha mipango yao wanasema uktaka kumtawala mtu ucitumie nguvu athiri kwanza akili yake ukifanikiwa hlo utamtawala unavyotaka na ndicho wanachofanya
Iyo ni opinion. Fact je zipo wapi?
WEWE MUONGO,KATIKA UISLAMU KUNA MAMBO MATANO YA LAZIMA MOJAWAPO NI KUTOA ZAKA.ACHA UONGO.Mwanzo nilishasema kuwa freemasons walikuwepo kabla ya ukristo ma uislam. Wakati huo dini ilikuwa ni imani moja kuelekea Mungu.
Freemasons walianzisha mpango wa kuiteka dunia wakipinga imani ya dunia kuelekea Mungu.
Freemasons wanatumia akili sana. Ndipo ukaanzishwa mpango dini badala ya imani.
Ndani ya dini kukawekwa madhehebu..
Nirudi kwenye point yako.
Uislam haipingi freemasons wala ukristo haupingi freemason. Ndani ya uislam kuna freemason na ndani ya ukristo kuna ufreemason.
1. Freemason ndio waanzilishi wa ALAMA.. Ndio maana kila dini kuna LOGO. Ndani ya uislam kuna mwezi na nyota.
Kwanini unadhani freemason hukimbilia uislam? Kwasababu
1. Ukristo humtaka tajiri atoe sehemu ya mali yake aipeleke kanisani.. Au fungu la kumi huhimizwa sana ulipeleke kanisani.
2 uislam ni hiari kutoa msikitini. Ndio maana misikiti mingi hujengwa na aidha na mtu mmoja tu yaani hakuna kuhizana juu ya matoleo.
Matajiri wengi ni mabahili. Na waumini wengi hawapendi mambo ya kutoa sadaka.. Ktk ukristo sadaka husisitizwa.. Ktk uislam sadaka ni kama hiari.. Na misikiti humilikiwa na mtu binafsi.
Hii ndio sababu hasa unaodhani ni mafreemasons matajiri hukimbilia uislam wakihofia kutoa sadaka na fungu la kumi vitapunguza utajiri wao. .
Hivi mkuu nabii issa ndio yesu? Na kama yeye kumbe mna aamin atarudi?HIVI unaujua Uislam au unaongea hivi unajua kama Qur'an imegusia hizo dini za kuabudu mungu wa jicho moja ? (Wakati nyie mkiita Freemason, iluminati na bla bla) katika Qur'an kiongozi wa hao wote anaitwa kwa jina la Masih dajjal ambae ina jicho moja tu, huyu na wafuasi wake ndo watakaokuja kupigana tena na Nabii Issa atakaporudi, na hapo ndo utakuwa mwisho wa dunia, hawa Wafuasi wa Massih DAJAL (freemason na Illumati) watakuja kuwa na nguvu mno, Qur'an imeelezea yalopita, yaliopo na yajao bila shaka, wakati nyie mmekuja ijua miaka ya hivi karibuni hii dini tayari Qur'an ilishaelezea na tukapewa na dua ya kujikinga na hawa Masih dajal na nembo yao ni mtu mwenye jicho moja, ambae pia kwenye Qur'an ameelezewa, acha kudanganay kama wanakimbilia kwenye uislam sabab hamna sadaka, wanakimbilia huko sabab ndo sehem pekee salama, wale wafuasi wanawajua, wafuasi wenzao mapapa na mapadre wanakutana kwenye mikutano halaf atakimbiliaje kwa wafuasi hao hao, Michael Jackson anaenda kanisani anamkuta padre wake, akirudi kule kwenye dini zao anamkuta, unadhani akitaka kujitoa atakimbilia kanisani tena?? tafakari sikilia ile documentary vizuri na jinsi dada yake Michael Jackson alivyokkuwa akijibu kwamba Michael aliona sehemu salama ni uislam pekee na si yeye tu, wote wanaojitoa huko ukimbilia kwenye uislam, tafakar.....
huyu :desidery huna lolote ulijualo unapapasa uoni, utasoma vitabu vilivyo tiwa mikono naku tafsriwa na hao hao magharib shetninzm!
ni kweli