Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..
Mwaga mchele.... Kwa wengi na wenyewe watasema ni za kusadikika, ila wa google haya mambo yote, wafanye research, labda wataona umeongea ukweli fulani, hawa wote kweli ni matajiri wa kutupa..
Huu ndio uhuru wa kidemokrasia tunaoukumbatia, hujavunja sheria na umeongea yako bila kutishiwa...
 

kweli kabisa. umenikubusha " allegory of the cave". anyway, ni kweli unachosema. federal reserve bank is not even a bank. its a private body.
 
Tunaposoma Biblia, tujitahidi sana kumuomba Mungu atufunulie ni nini hasa kamaanisha ktk maandiko yake.
Si vibaya hata ukaingia Google ukaangalia ni jinsi na wengine walivyoelewa.

Kwa hiyo wewe unalewa nini hapo na unaifafanua vipi?!!
 

Mkuu hawa jamaa zamani walijulikana kama The Secret Society, but now they're no longer. Kwa sasa wanajiita The Society With Secret. Ukitaka ufafanuzi tutafuteni zaidi.
 
Mtahangaika sana wana wa SDA! Hii gape kwa Uislam kukua sasa! Mnatisha watu weeeeeee but where?!
 
Hapa naona changanyikeni asaaah!!!
Badala ya kuongezea kitu mmnaandika points za kasuku dah!!!!.
 

Hizi ndio zile stori ya kufikirika kuunganisha mambo ili upate predetermined jibu...jibu unalo unatafuta njia kulihalalisha...

Kiuchumi ni rahisi ku-control virtually anything...tena kama wanamiliki mifumo ya kifedha,naona ni sawa watakua na uwezo huo..

Ila kuja kuniambia kimtu kidogo kama Jay-Z ni important person kwenye kuitawala dunia,siamini hata kidogo
 

Aliyesema hivyo ni nani? Na sio lazima uamini. kama umewahi kusikia kitu kinaitwa "Sell your soul to the devil" for fame and fortune hapa ndipo Jay Z anaingia. Hao wanaotaka kuitawala dunia hawawezi kutawala kama hawajabadilisha ustaarab wa dunia katika tabia, imani na mienendo ya watu. Unasema Jay Z ni kimtu kidogo? hebeu acha dharau zako basi, "kimtu kidogo" maana yake ni nini??? Unajua influence aliyonayo Jay Z kwa vijana na watoto wa leo? Hiyo milegezo mnayovaa kukaribisha wanaume wenzenu waje wawapumulie visogoni unajua vinatoka wapi? Na, unajua kuwa Jay Z anaweza kuulisha, kuusomesha, kugharimia matibabu na kuujengea makazi ukoo wako wote na vizazi hata vinee vinavyokufuata? Unamuita kimtu kidogo wakati usikute hata kiwanja tu huna achilia mbali hiyo nyumba. Hebu acha hizo basi.
 
Wanaokataa na wanaosuport wote wan points za msingi kabisa. Nataman sana kujua zaid. Heb tupen vitu. Cjui hata nimfuate nani. Bt I'm a fan of evidences. Ni posible kabsa mtu kukaa chini na kuanza kuunganisha mambo kwa lugha nzuri akawashika watu masikio, watu wakanunua kaz zake mwisho wa ck mkono wake umeenda kinywan. Njia za kutafut pesa ni nyingi wazee. Et hata Titanic imeunganishwa huko. Baadae tutaambiwa hata ile ndege ya Malaysia ni wao wamechukua. Actually sipingi moja kwa moja but I'm confused.
 
Jaman sijui niamini au nisiamin.kwanza hiyo kaz ya kumaliza ulimwengu wamepewa na nani na kwa faida gani kwao?
 
Jaman sijui niamini au nisiamin.kwanza hiyo kaz ya kumaliza ulimwengu wamepewa na nani na kwa faida gani kwao?

Hizi ni story za wajinga wajinga wasio na kazi. Story za vijiweni kumaliza muda siku iishe.

Mtu mzima na akili zake Anakaa kuamini kuna mtu yupo nyuma yake ndio anamcontrol Kwa kila kitu. Eti wamepewa kazi ya kumaliza dunia. WTF!
 
Get Rich Or Die Tyr

mkuu kwenye [album] ya 50cent ihitwayo [get rich or die tyr] je! alikua anajitambulisha kama familia ya [freemanson?] kama ni kweli vijana wetu wamekwisha kwa kupenda kusikiliza miziki ya mashetani,maana yanawavuvia maroho ndio maana tunawaona vijana wananyoa minyoo ya ajabu ajabu bila kujua ni [new world order] maskini vijana kwa kuiga iga wanaangamia,
 
Hizi ni story za wajinga wajinga wasio na kazi. Story za vijiweni kumaliza muda siku iishe.

Mtu mzima na akili zake Anakaa kuamini kuna mtu yupo nyuma yake ndio anamcontrol Kwa kila kitu. Eti wamepewa kazi ya kumaliza dunia. WTF!

Sometimes wewe unaweza kubeza kumbe ndio ukweli. Jiulize maswali je waijua vema dunia na misingi yake? Je wamjua vema na kumfahamu mtu mmoja mmoja na dhamila yake kwa dunia nzima?
 

Umefanya tafiti wapi na lini mpaka kupata hizo familia 13?
ukiendeleza hizi imani, utasugua sana benchi kwa kulaumu watu wengine kushikilia 'utajiri' duniani. Wao wana-determine uishi chini ya dollar 1 au chini ya dollar 100????? PLEASE!!!!
 
Umefanya tafiti wapi na lini mpaka kupata hizo familia 13?
ukiendeleza hizi imani, utasugua sana benchi kwa kulaumu watu wengine kushikilia 'utajiri' duniani. Wao wana-determine uishi chini ya dollar 1 au chini ya dollar 100????? PLEASE!!!!

Sio swala la iman , Kwaku amezileta unaweza kwenda Google ukazipekua moja baada ya nyngne , hakuna uongo hapo ....Fanya utafiti badala yake
 
Sometimes wewe unaweza kubeza kumbe ndio ukweli. Jiulize maswali je waijua vema dunia na misingi yake? Je wamjua vema na kumfahamu mtu mmoja mmoja na dhamila yake kwa dunia nzima?

Najua kwa hakika mimi ndio nacontrol maisha yangu hakuna mtu mwingine isipokuwa mimi mwenyewe. Kuamini shida zako na umasikini wako unasababishwa na watu fulani ni upuuuzi. Kuamini kuna watu wanataka waimalize dunia ni upuuuzi vile vile. waimalize ili iwaje?

Ushawahi jiuliza kwanini hizi story zinaongelewa sana na masikini?
 
Dstv-Digital satelite televvision, hiki sio kirefu halisi cha Dstv kirefu halisi ni Digital satanic television.Vipi na mpango wa mambo ya satelite angani wanahusika na hawa? mwenye ujuzi anakaribishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…