Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..
Mwaga mchele.... Kwa wengi na wenyewe watasema ni za kusadikika, ila wa google haya mambo yote, wafanye research, labda wataona umeongea ukweli fulani, hawa wote kweli ni matajiri wa kutupa..
Huu ndio uhuru wa kidemokrasia tunaoukumbatia, hujavunja sheria na umeongea yako bila kutishiwa...
 
Singa singa yupo right.
Kama unakubaliana naye au hukubaliani naye siyo tatizo la SingaSinga.
Bisheni tu kama mmejielimisha vya kutoka juu jambo au mambo anayo ongelea.
Lakini kama ni kubisha kwa sababu hutaki iwe hivyo sasa yeye afanye nini?

In short hawa jamaa aliowataja hapo juu ndo Owner wa kitu mnaita Federal Reserve au Benki kuu ya USA.

Cha ajabu Federal Reserve haiko owned na US Government ni Private Organisation.
Kazi yao kubwa ni ku print hela kisha wanaikopesha serikali ya marekani kwa riba ambayo inalipwa na kila mtumia dola duniani.

Singa Singa hiii ndo taabu ya kuleta Ufunuo kwa watu ambao hawako tayari, wao wataonekana wana uelewa na wewe punguani.
Hasa hivyo usichoke endelea kuleta nondo.

Enzi zile ilikuwa ni rahisi kuuambia umma kabla ya kula osha mikono mpaka kwenye kiwiko kuliko kusema nawa vizuri ili kujinga na batkeria. Lingeingizwa neno bakteria tu shughuli ingezaliwa. Swali lingekuja

"Acha kudanganya watu bakteria bakteria, bakteria wenyewe wapo wapi?"
Ukisema ni wadogo sana huwezi kuwaona kwa macho lakini ndo huleta magonjwa
reaction ingekuwa
"Yakhe wewe umewaonaje kama hawaonekani kwa macho?"

Neno Haramu linasimama kuepusha maelezo mengi.
Hii ni haramu usiguse.
Ni rahisi kuliko kusema Handle with care.

kweli kabisa. umenikubusha " allegory of the cave". anyway, ni kweli unachosema. federal reserve bank is not even a bank. its a private body.
 
Tunaposoma Biblia, tujitahidi sana kumuomba Mungu atufunulie ni nini hasa kamaanisha ktk maandiko yake.
Si vibaya hata ukaingia Google ukaangalia ni jinsi na wengine walivyoelewa.

Kwa hiyo wewe unalewa nini hapo na unaifafanua vipi?!!
 
Mkuu, shida moja katika mambo haya ni kuwa yenyewe tu ni SECRET. hivyo chochote kinachoyahusu inskuwa ngumu kuthibitisha na kuamini. Lakini ukiangalia kwa jicho pevu na kuconnect dots kuna maswali unaweza kosa majibu yake then yakahustify uwepo wa haya makitu. Mfano wa maswali hayo ni:
Kwa nini agenda zinazovuma sana duniani nyingi zinaenda kinyume na Mungu wa kweli? Mfano ushoga, kwa faida ya nani?

Je, ugaidi ni agenda ya nani? Nani wananufaika nao?

Je, biashara ya dhahabu, mafuta na almasi watu gani wanaidhibiti? Kwanini wao?

Je, logo za kwenye note ya dollar hasa $1 bill zinamaana gani? Kuna neno lina tafsiri ya NEW WORLD ORDER kwenye logo. Lile jicho moja juu ya pyramid nini maana yake?

Hayo maswali nina uhakika ni magumu maana majibu yake ni SECRET. hivyo likija jibu la kuwa ni ILLUMINATE basi inaonekana ni uzushi. Lakini amini nakuambia kitu kinaitwa NEW WORLD ORDER kipo.

Mkuu hawa jamaa zamani walijulikana kama The Secret Society, but now they're no longer. Kwa sasa wanajiita The Society With Secret. Ukitaka ufafanuzi tutafuteni zaidi.
 
Mtahangaika sana wana wa SDA! Hii gape kwa Uislam kukua sasa! Mnatisha watu weeeeeee but where?!
 
Hapa naona changanyikeni asaaah!!!
Badala ya kuongezea kitu mmnaandika points za kasuku dah!!!!.
 
Ambacho wakati mwingine nashangaa ni kuwa mtu anabisha pasipo kutoa kile anachoelewa kuhusu mada, ilimradi anabisha tu! Hii siipendi. Bisha, lakini weka unachoelewa vinginevyo ndio ubishi wako utaonyesha kweli wewe ni critical thinker.

Wakuu, hii thread mkiipa nafasi nawahakikishia itawafungua watu wengi macho na ufahamu hasa wale wanaobisha na kuita ni uongo au uzushi. Jambo hili ni kweli 1000%

Dunia hii wengine tupo tupo tu hatujali inaendaje, wala hatujali kwanini hiki au kile kinatokea. Na kwa nini kinatokea sehemu fulani ya dunia na si sehemu nyingine? Ukweli ni kuwa, amini ausiamni, dunia hii inaratibiwa na kundi la watu wenye ufahamu na utajiri wa hali ya juu sana ambalo liko na mawasiliano na mungu wa dunia hii (lucifer) kwa lengo la kuingusha dunia hii kwa kuleta ustaarabu tofauti kabisa na tulionao sasa. Kundi hili ndio linaitwa Illuminati.

Hawa watu ni hatari kuliko uwezo wa kawaida wa binadamu kufikiria. Na alichoweka mleta mada hapo juu ni fact. Hawa watu wako very well organised na very much objective. hawaepukiki!!! na hapo ndipo mtu atalazimika kuyaamini maandiko matakatifu hata kama hataki!

Hawa watu ndio wanatawala dunia hii kila sehemu. Yaani huchomoki. Nitatoa mfano mdogo tu. Music Industry.

Fuatilia uone, wanaitumia sana music industry kufikisha ujumbe wao kwa jamiii kiurahisi sana. Na kwa kufanya hivi, wanachofanya ni kuwakama ma-artists wakubwa wote na kuwatumia ku-brainwash dunia. Fuatilia mafanikio ya watu hawa na kazi yao katika kufanikisha illuminati objective:
1. Michael Jackson: Unajua kuwa watu hawa ndio waliomtumia Michael Jackson kwa kiasi kikubwa sana kuifikia dunia kwa urahisi? Unajua nani waliomuua huyu jamaa? Unajua mpaka alipoimba wimbo wa "HEAL THE WORLD" yalikuwa yamemfika shingoni? Unajua kuwa conflict yake na watu hawa ndio iliyozaa kewsi za child abuse na wakampoteza kabisa? Unajua conflict ya MJ an Sony? Fuatilia ujue nini kilimuua MJ.

2. BOB MARLEY - Je, unajua nini kilimpa umaarufu Bob? Je unajua nyimbo alizotunga BOB alipata msaada wapi mpaka zikawa za kugusa sana hisia za watu? Kama pia MJ, nyimbo alizoimba zikawa za kugusa sana hisia za watu unadhani alipata msaada wapi? Au haujui kuwa Lucifer ndiye alikuwa kiongozi wa nyimbo huko alikotoka? kama huamini sikulazimishi. Sasa, unajua jina la Bob lilitoka wapi? maana yeye alikuwa anaitwa ROBERT NESTA MARLEY, sasa hilo BOB lilitoka wapi? Unajua wimbo wa NO WOMAN NO CRY ulitokana na nini? Fuatilia utaona kuwa illuminati ndio walikuwa behind Bob Marley. Na, alikuwa na mke kwa miaka 6 hakuzaa. Akaoa mwingine akakaa miaka 6 tena hakuzaa. Ndipo hawa illuminati wakamchukua kutoka na talent waliyoona kwake (kama ilivyokuwa kwa MJ), wakamfanyia surgery akazaa. hapo ndio akatoa ule wimbo wa NO WOMAN NO CRY. Baadae alipotibuana nao ndio atoa wimbo wa BUFFALO SOLDIER (kama MJ alivyotoa Heal the world) then story ikaenda akauwawa na cancer akiwa 36 years tu, unajua hiyo cancer alipata wapi?

3. TUPAC SHAKUR - Unajua kuwa huyu jamaa alikuwa maarufu pia kutokana na support ya hawa watu? Na alivyotibuana nao ndio akaanza kuimba mara me against the world, all eyez on me yaani yote hiyo ilikuwa kutapatapa na mnajua nini kilimpata mwaka 1996? Fuatilia uone kuwa ugomvi ulianzia pale 2PAC alivyotakiwa kumuingilia mwanaume mwenzake kwenye 0713, na akakataa!!!

4. P DIDY
5. JAY Z
6. KANYE WEST
7. RIHANNA
8. BEYONCE
9. WHITNEY HUSTON - the same story, unajua kilichomuua?
10. AALIYA - the same story, unajua kilichomuua?

Pia, unajua kilichomuua J.F Kennedy??? Hawa jamaa unatakiwa ukiwa kiongozi hasa kwa marekani lazima ufanye wanachotaka, na huyu Kennedy alitaka kuwa against them pale aliposema:

"There's a plot in this country to enslave every man, woman, and child. Before I leave this high and noble office, I intend to expose this plot"

Akauawa siku 7 zilizofuata.

Hizi mambo wakuu ni amini na kweli. sikulazimishi kuamini anyway.

Hizi ndio zile stori ya kufikirika kuunganisha mambo ili upate predetermined jibu...jibu unalo unatafuta njia kulihalalisha...

Kiuchumi ni rahisi ku-control virtually anything...tena kama wanamiliki mifumo ya kifedha,naona ni sawa watakua na uwezo huo..

Ila kuja kuniambia kimtu kidogo kama Jay-Z ni important person kwenye kuitawala dunia,siamini hata kidogo
 
Hizi ndio zile stori ya kufikirika kuunganisha mambo ili upate predetermined jibu...jibu unalo unatafuta njia kulihalalisha...

Kiuchumi ni rahisi ku-control virtually anything...tena kama wanamiliki mifumo ya kifedha,naona ni sawa watakua na uwezo huo..

Ila kuja kuniambia kimtu kidogo kama Jay-Z ni important person kwenye kuitawala dunia,siamini hata kidogo

Aliyesema hivyo ni nani? Na sio lazima uamini. kama umewahi kusikia kitu kinaitwa "Sell your soul to the devil" for fame and fortune hapa ndipo Jay Z anaingia. Hao wanaotaka kuitawala dunia hawawezi kutawala kama hawajabadilisha ustaarab wa dunia katika tabia, imani na mienendo ya watu. Unasema Jay Z ni kimtu kidogo? hebeu acha dharau zako basi, "kimtu kidogo" maana yake ni nini??? Unajua influence aliyonayo Jay Z kwa vijana na watoto wa leo? Hiyo milegezo mnayovaa kukaribisha wanaume wenzenu waje wawapumulie visogoni unajua vinatoka wapi? Na, unajua kuwa Jay Z anaweza kuulisha, kuusomesha, kugharimia matibabu na kuujengea makazi ukoo wako wote na vizazi hata vinee vinavyokufuata? Unamuita kimtu kidogo wakati usikute hata kiwanja tu huna achilia mbali hiyo nyumba. Hebu acha hizo basi.
 
Wanaokataa na wanaosuport wote wan points za msingi kabisa. Nataman sana kujua zaid. Heb tupen vitu. Cjui hata nimfuate nani. Bt I'm a fan of evidences. Ni posible kabsa mtu kukaa chini na kuanza kuunganisha mambo kwa lugha nzuri akawashika watu masikio, watu wakanunua kaz zake mwisho wa ck mkono wake umeenda kinywan. Njia za kutafut pesa ni nyingi wazee. Et hata Titanic imeunganishwa huko. Baadae tutaambiwa hata ile ndege ya Malaysia ni wao wamechukua. Actually sipingi moja kwa moja but I'm confused.
 
Jaman sijui niamini au nisiamin.kwanza hiyo kaz ya kumaliza ulimwengu wamepewa na nani na kwa faida gani kwao?
 
Jaman sijui niamini au nisiamin.kwanza hiyo kaz ya kumaliza ulimwengu wamepewa na nani na kwa faida gani kwao?

Hizi ni story za wajinga wajinga wasio na kazi. Story za vijiweni kumaliza muda siku iishe.

Mtu mzima na akili zake Anakaa kuamini kuna mtu yupo nyuma yake ndio anamcontrol Kwa kila kitu. Eti wamepewa kazi ya kumaliza dunia. WTF!
 
Get Rich Or Die Tyr

mkuu kwenye [album] ya 50cent ihitwayo [get rich or die tyr] je! alikua anajitambulisha kama familia ya [freemanson?] kama ni kweli vijana wetu wamekwisha kwa kupenda kusikiliza miziki ya mashetani,maana yanawavuvia maroho ndio maana tunawaona vijana wananyoa minyoo ya ajabu ajabu bila kujua ni [new world order] maskini vijana kwa kuiga iga wanaangamia,
 
Hizi ni story za wajinga wajinga wasio na kazi. Story za vijiweni kumaliza muda siku iishe.

Mtu mzima na akili zake Anakaa kuamini kuna mtu yupo nyuma yake ndio anamcontrol Kwa kila kitu. Eti wamepewa kazi ya kumaliza dunia. WTF!

Sometimes wewe unaweza kubeza kumbe ndio ukweli. Jiulize maswali je waijua vema dunia na misingi yake? Je wamjua vema na kumfahamu mtu mmoja mmoja na dhamila yake kwa dunia nzima?
 
Kila familia hapa chini imepewa kazi yake ya kuumaliza Ulimwengu kutoka utawala wa Mungu hadi utawala wao wa NEW WORLD ORDER "NWO", na hizi ndo familia zinazo control dunia nzima yaani wamejivisha umungu mtu, na hizi familia hazijaanza leo wala jana zimeanzishwa kabla hata Yesu na Mtume Muhammad S.A.W na huu ndio mwendelezo wake.

Hawa ndio wenye uwezo wa kufanya Mtanzania aishi chini ya Dolla 100 au 1, kutokana na Mipango yao ya New World Order, kwenye nchi yako umefikia wapi? Wenzetu South Africa walishakubali kitambo kwa shinikizo la makaburu ndio maana unaona maisha kwao ni mepesi, bahati nzuri nimefanikiwa kukaa South, kiufupi ndio Nchi iliyoendelea kwa Africa lakini ndio Nchi inayoongoza Maovu na Laana ambayo kwa niliyo yaona mimi hayasimuliki.

Unaweza kuyasachi haya majina ya familia 13 za Illuminati;


  1. The Astor Bloodline
  2. The Bundy Bloodline
  3. The Collins Bloodline
  4. The DuPont Bloodline
  5. The Freeman Bloodline
  6. The Kennedy Bloodline
  7. The Li Bloodline
  8. The Onassis Bloodline
  9. The Reynolds Bloodline
  10. The Rockefeller Bloodline
  11. The Rothschild Bloodline
  12. The Russell Bloodline
The Van Duyn Bloodline


esp_so1x.jpg


Kwenye Dolla ya Marekani imeandikwa In God We Trust hii ndio Maana kamili;

97082_640.jpg


Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..

Umefanya tafiti wapi na lini mpaka kupata hizo familia 13?
ukiendeleza hizi imani, utasugua sana benchi kwa kulaumu watu wengine kushikilia 'utajiri' duniani. Wao wana-determine uishi chini ya dollar 1 au chini ya dollar 100????? PLEASE!!!!
 
Umefanya tafiti wapi na lini mpaka kupata hizo familia 13?
ukiendeleza hizi imani, utasugua sana benchi kwa kulaumu watu wengine kushikilia 'utajiri' duniani. Wao wana-determine uishi chini ya dollar 1 au chini ya dollar 100????? PLEASE!!!!

Sio swala la iman , Kwaku amezileta unaweza kwenda Google ukazipekua moja baada ya nyngne , hakuna uongo hapo ....Fanya utafiti badala yake
 
Sometimes wewe unaweza kubeza kumbe ndio ukweli. Jiulize maswali je waijua vema dunia na misingi yake? Je wamjua vema na kumfahamu mtu mmoja mmoja na dhamila yake kwa dunia nzima?

Najua kwa hakika mimi ndio nacontrol maisha yangu hakuna mtu mwingine isipokuwa mimi mwenyewe. Kuamini shida zako na umasikini wako unasababishwa na watu fulani ni upuuuzi. Kuamini kuna watu wanataka waimalize dunia ni upuuuzi vile vile. waimalize ili iwaje?

Ushawahi jiuliza kwanini hizi story zinaongelewa sana na masikini?
 
Dstv-Digital satelite televvision, hiki sio kirefu halisi cha Dstv kirefu halisi ni Digital satanic television.Vipi na mpango wa mambo ya satelite angani wanahusika na hawa? mwenye ujuzi anakaribishwa.
 
Back
Top Bottom