Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambacho wakati mwingine nashangaa ni kuwa mtu anabisha pasipo kutoa kile anachoelewa kuhusu mada, ilimradi anabisha tu! Hii siipendi. Bisha, lakini weka unachoelewa vinginevyo ndio ubishi wako utaonyesha kweli wewe ni critical thinker.
Wakuu, hii thread mkiipa nafasi nawahakikishia itawafungua watu wengi macho na ufahamu hasa wale wanaobisha na kuita ni uongo au uzushi. Jambo hili ni kweli 1000%
Dunia hii wengine tupo tupo tu hatujali inaendaje, wala hatujali kwanini hiki au kile kinatokea. Na kwa nini kinatokea sehemu fulani ya dunia na si sehemu nyingine? Ukweli ni kuwa, amini ausiamni, dunia hii inaratibiwa na kundi la watu wenye ufahamu na utajiri wa hali ya juu sana ambalo liko na mawasiliano na mungu wa dunia hii (lucifer) kwa lengo la kuingusha dunia hii kwa kuleta ustaarabu tofauti kabisa na tulionao sasa. Kundi hili ndio linaitwa Illuminati.
Hawa watu ni hatari kuliko uwezo wa kawaida wa binadamu kufikiria. Na alichoweka mleta mada hapo juu ni fact. Hawa watu wako very well organised na very much objective. hawaepukiki!!! na hapo ndipo mtu atalazimika kuyaamini maandiko matakatifu hata kama hataki!
Hawa watu ndio wanatawala dunia hii kila sehemu. Yaani huchomoki. Nitatoa mfano mdogo tu. Music Industry.
Fuatilia uone, wanaitumia sana music industry kufikisha ujumbe wao kwa jamiii kiurahisi sana. Na kwa kufanya hivi, wanachofanya ni kuwakama ma-artists wakubwa wote na kuwatumia ku-brainwash dunia. Fuatilia mafanikio ya watu hawa na kazi yao katika kufanikisha illuminati objective:
1. Michael Jackson: Unajua kuwa watu hawa ndio waliomtumia Michael Jackson kwa kiasi kikubwa sana kuifikia dunia kwa urahisi? Unajua nani waliomuua huyu jamaa? Unajua mpaka alipoimba wimbo wa "HEAL THE WORLD" yalikuwa yamemfika shingoni? Unajua kuwa conflict yake na watu hawa ndio iliyozaa kewsi za child abuse na wakampoteza kabisa? Unajua conflict ya MJ an Sony? Fuatilia ujue nini kilimuua MJ.
2. BOB MARLEY - Je, unajua nini kilimpa umaarufu Bob? Je unajua nyimbo alizotunga BOB alipata msaada wapi mpaka zikawa za kugusa sana hisia za watu? Kama pia MJ, nyimbo alizoimba zikawa za kugusa sana hisia za watu unadhani alipata msaada wapi? Au haujui kuwa Lucifer ndiye alikuwa kiongozi wa nyimbo huko alikotoka? kama huamini sikulazimishi. Sasa, unajua jina la Bob lilitoka wapi? maana yeye alikuwa anaitwa ROBERT NESTA MARLEY, sasa hilo BOB lilitoka wapi? Unajua wimbo wa NO WOMAN NO CRY ulitokana na nini? Fuatilia utaona kuwa illuminati ndio walikuwa behind Bob Marley. Na, alikuwa na mke kwa miaka 6 hakuzaa. Akaoa mwingine akakaa miaka 6 tena hakuzaa. Ndipo hawa illuminati wakamchukua kutoka na talent waliyoona kwake (kama ilivyokuwa kwa MJ), wakamfanyia surgery akazaa. hapo ndio akatoa ule wimbo wa NO WOMAN NO CRY. Baadae alipotibuana nao ndio atoa wimbo wa BUFFALO SOLDIER (kama MJ alivyotoa Heal the world) then story ikaenda akauwawa na cancer akiwa 36 years tu, unajua hiyo cancer alipata wapi?
3. TUPAC SHAKUR - Unajua kuwa huyu jamaa alikuwa maarufu pia kutokana na support ya hawa watu? Na alivyotibuana nao ndio akaanza kuimba mara me against the world, all eyez on me yaani yote hiyo ilikuwa kutapatapa na mnajua nini kilimpata mwaka 1996? Fuatilia uone kuwa ugomvi ulianzia pale 2PAC alivyotakiwa kumuingilia mwanaume mwenzake kwenye 0713, na akakataa!!!
4. P DIDY
5. JAY Z
6. KANYE WEST
7. RIHANNA
8. BEYONCE
9. WHITNEY HUSTON - the same story, unajua kilichomuua?
10. AALIYA - the same story, unajua kilichomuua?
Pia, unajua kilichomuua J.F Kennedy??? Hawa jamaa unatakiwa ukiwa kiongozi hasa kwa marekani lazima ufanye wanachotaka, na huyu Kennedy alitaka kuwa against them pale aliposema:
"There's a plot in this country to enslave every man, woman, and child. Before I leave this high and noble office, I intend to expose this plot"
Akauawa siku 7 zilizofuata.
Hizi mambo wakuu ni amini na kweli. sikulazimishi kuamini anyway.
suala sio kuwa muislam au mkristo au mpagani. Suala hapa ni je, hayo masuala yapo au hayapo? Tujadili tu si vema kuingiza udini hapa.We utakuwa muislamu tena shehe yule aliyetoa muhadhara yupo YouTube kwa jina kanisa la shetani ni wewe haswaa usibishe hasa ulivyomvuruga Bob huna pa kuchomokea aisee mkuu
Mkuu umewahi kujiuliza how waliweza ku plani kuzamisha Titanic six month later ikafunguliwa united federal bank ambayo ilifinance Russian revolution na vita ya kwanza ya dunia
Ambacho wakati mwingine nashangaa ni kuwa mtu anabisha pasipo kutoa kile anachoelewa kuhusu mada, ilimradi anabisha tu! Hii siipendi. Bisha, lakini weka unachoelewa vinginevyo ndio ubishi wako utaonyesha kweli wewe ni critical thinker.
Wakuu, hii thread mkiipa nafasi nawahakikishia itawafungua watu wengi macho na ufahamu hasa wale wanaobisha na kuita ni uongo au uzushi. Jambo hili ni kweli 1000%
Dunia hii wengine tupo tupo tu hatujali inaendaje, wala hatujali kwanini hiki au kile kinatokea. Na kwa nini kinatokea sehemu fulani ya dunia na si sehemu nyingine? Ukweli ni kuwa, amini ausiamni, dunia hii inaratibiwa na kundi la watu wenye ufahamu na utajiri wa hali ya juu sana ambalo liko na mawasiliano na mungu wa dunia hii (lucifer) kwa lengo la kuingusha dunia hii kwa kuleta ustaarabu tofauti kabisa na tulionao sasa. Kundi hili ndio linaitwa Illuminati.
Hawa watu ni hatari kuliko uwezo wa kawaida wa binadamu kufikiria. Na alichoweka mleta mada hapo juu ni fact. Hawa watu wako very well organised na very much objective. hawaepukiki!!! na hapo ndipo mtu atalazimika kuyaamini maandiko matakatifu hata kama hataki!
Hawa watu ndio wanatawala dunia hii kila sehemu. Yaani huchomoki. Nitatoa mfano mdogo tu. Music Industry.
Fuatilia uone, wanaitumia sana music industry kufikisha ujumbe wao kwa jamiii kiurahisi sana. Na kwa kufanya hivi, wanachofanya ni kuwakama ma-artists wakubwa wote na kuwatumia ku-brainwash dunia. Fuatilia mafanikio ya watu hawa na kazi yao katika kufanikisha illuminati objective:
1. Michael Jackson: Unajua kuwa watu hawa ndio waliomtumia Michael Jackson kwa kiasi kikubwa sana kuifikia dunia kwa urahisi? Unajua nani waliomuua huyu jamaa? Unajua mpaka alipoimba wimbo wa "HEAL THE WORLD" yalikuwa yamemfika shingoni? Unajua kuwa conflict yake na watu hawa ndio iliyozaa kewsi za child abuse na wakampoteza kabisa? Unajua conflict ya MJ an Sony? Fuatilia ujue nini kilimuua MJ.
2. BOB MARLEY - Je, unajua nini kilimpa umaarufu Bob? Je unajua nyimbo alizotunga BOB alipata msaada wapi mpaka zikawa za kugusa sana hisia za watu? Kama pia MJ, nyimbo alizoimba zikawa za kugusa sana hisia za watu unadhani alipata msaada wapi? Au haujui kuwa Lucifer ndiye alikuwa kiongozi wa nyimbo huko alikotoka? kama huamini sikulazimishi. Sasa, unajua jina la Bob lilitoka wapi? maana yeye alikuwa anaitwa ROBERT NESTA MARLEY, sasa hilo BOB lilitoka wapi? Unajua wimbo wa NO WOMAN NO CRY ulitokana na nini? Fuatilia utaona kuwa illuminati ndio walikuwa behind Bob Marley. Na, alikuwa na mke kwa miaka 6 hakuzaa. Akaoa mwingine akakaa miaka 6 tena hakuzaa. Ndipo hawa illuminati wakamchukua kutoka na talent waliyoona kwake (kama ilivyokuwa kwa MJ), wakamfanyia surgery akazaa. hapo ndio akatoa ule wimbo wa NO WOMAN NO CRY. Baadae alipotibuana nao ndio atoa wimbo wa BUFFALO SOLDIER (kama MJ alivyotoa Heal the world) then story ikaenda akauwawa na cancer akiwa 36 years tu, unajua hiyo cancer alipata wapi?
3. TUPAC SHAKUR - Unajua kuwa huyu jamaa alikuwa maarufu pia kutokana na support ya hawa watu? Na alivyotibuana nao ndio akaanza kuimba mara me against the world, all eyez on me yaani yote hiyo ilikuwa kutapatapa na mnajua nini kilimpata mwaka 1996? Fuatilia uone kuwa ugomvi ulianzia pale 2PAC alivyotakiwa kumuingilia mwanaume mwenzake kwenye 0713, na akakataa!!!
4. P DIDY
5. JAY Z
6. KANYE WEST
7. RIHANNA
8. BEYONCE
9. WHITNEY HUSTON - the same story, unajua kilichomuua?
10. AALIYA - the same story, unajua kilichomuua?
Pia, unajua kilichomuua J.F Kennedy??? Hawa jamaa unatakiwa ukiwa kiongozi hasa kwa marekani lazima ufanye wanachotaka, na huyu Kennedy alitaka kuwa against them pale aliposema:
"There's a plot in this country to enslave every man, woman, and child. Before I leave this high and noble office, I intend to expose this plot"
Akauawa siku 7 zilizofuata.
Hizi mambo wakuu ni amini na kweli. sikulazimishi kuamini anyway.
Huwezi hata kuchanganya na zako kidogo ndugu? Majibu ya maswali yote hayo ndiyo Illuminati. Tatizo hutaki hata kushirikisha ubongo wako hata kidogo. Huoni kuwa kujiuliza maswali hayo na ukajua tunajadili Illuminati ni very simple kujua kilichosababisha? hapa napo bado nimeuliza hahaah maana kuuliza hufanya mtu afikirie rafiki ila majibu yote ni topic under discussion - illiuminati.Umeeleza ni sawa lakini na wewe huna unachojua vizuri zaidi ya uvumi.kama unajua ni vyema ukatoa maelezo yakaeleweka kwa kusema unachojua juu ya hao uliowataja kuliko kukaa unasema tu na kuuliza eti unajua kilichomuua fulani?mala unajua kadha wa kadhaa!!!! We sema kile ujuacho ili uliemuona hajui apate elimu kuliko kukaa unajiuliza na kujijibu kile unachoamini wewe peke yako
Huwezi hata kuchanganya na zako kidogo ndugu? Majibu ya maswali yote hayo ndiyo Illuminati. Tatizo hutaki hata kushirikisha ubongo wako hata kidogo. Huoni kuwa kujiuliza maswali hayo na ukajua tunajadili Illuminati ni very simple kujua kilichosababisha? hapa napo bado nimeuliza hahaah maana kuuliza hufanya mtu afikirie rafiki ila majibu yote ni topic under discussion - illiuminati.
About what? Hii ndio hueleweki, pole for what?Pole sana.
About what? Hii ndio hueleweki, pole for what?
Well said mkuu, mimi huwa nasikitika sana kuona mtu anaamin upuuzi kama huu,
Yaani watu wakiwa matajiri mara utasikia freemason mara wanataka dunia moja wapi na wapi?
Hawa hawa ndo walisema 2000 mwisho wa dunia ikashindikana, wakadai 2012 ikagoma, sasa sijui wanataka nini.
story za vijiweni si kila habari unayosoma katika mitandao ni kweli. Bora ungeleta mada juu ya ufugaji wa kitimoto😕
Kuna mdau mmoja aliwahi kuleta mada juu ya usomaji wa vitabu zaidi ya 50 kwa muda flani na majuzi tu hapa nchini prof mmoja mstaafu kafungua library yake binafsi kwa ajili ya watz kwenda kujisomea, hii ina maana yake nn hiyo? Soma Vitabu upate maarifa.
Wataalam na maprof wooote unaowajua na kuwafahamu wamesoma vitabu na hata vya historia.
Nanukuu "ukitaka kumuua mtz kwa njaa, muwekee pesa ndani ya kutabu kisha kiweke mezani/kitandani kwake kisha ondoka".
Yaani utaikuta pesa yako ipo salama kama ulivoiweka.
Asante.
Unawaza kitimoto?
kabisa tena kitimoto rosti na bia bariidi(enzyme inducer) Kumbisalehe