Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Mtaishia kuamini upumbavu Wenzenu wanafanya maajabu. Hakuna mdudu anaitwa mungu acheni ujinga

Kama Mungu hayupo hebu tujibu haya.
1. Wewe umetoka wapi? Na huyo alokuleta ametoka wapi?

2, nini mwanzo wa mwanzo?

3. Baada ya maisha haya utakwenda wapi na utakuwa unafanya nini? Mpaka lini? Kivipi ikiwa utakuwa umeukiwa....
 
Mwanadamu hajawahi kumshinda MUNGU. Nebukadreza wa Babeli ya kale (Iraq ya leo) alitulizwa hawa nao watatulizwa pia wakati ukifika.
Kila familia hapa chini imepewa kazi yake ya kuumaliza Ulimwengu kutoka utawala wa Mungu hadi utawala wao wa NEW WORLD ORDER "NWO", na hizi ndo familia zinazo control dunia nzima yaani wamejivisha umungu mtu, na hizi familia hazijaanza leo wala jana zimeanzishwa kabla hata Yesu na Mtume Muhammad S.A.W na huu ndio mwendelezo wake.

Hawa ndio wenye uwezo wa kufanya Mtanzania aishi chini ya Dolla 100 au 1, kutokana na Mipango yao ya New World Order, kwenye nchi yako umefikia wapi? Wenzetu South Africa walishakubali kitambo kwa shinikizo la makaburu ndio maana unaona maisha kwao ni mepesi, bahati nzuri nimefanikiwa kukaa South, kiufupi ndio Nchi iliyoendelea kwa Africa lakini ndio Nchi inayoongoza Maovu na Laana ambayo kwa niliyo yaona mimi hayasimuliki.

Unaweza kuyasachi haya majina ya familia 13 za Illuminati;

  1. The Astor Bloodline
  2. The Bundy Bloodline
  3. The Collins Bloodline
  4. The DuPont Bloodline
  5. The Freeman Bloodline
  6. The Kennedy Bloodline
  7. The Li Bloodline
  8. The Onassis Bloodline
  9. The Reynolds Bloodline
  10. The Rockefeller Bloodline
  11. The Rothschild Bloodline
  12. The Russell Bloodline
The Van Duyn Bloodline

esp_so1x.jpg

Kwenye Dolla ya Marekani imeandikwa In God We Trust hii ndio Maana kamili;

97082_640.jpg

Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..
 
Mkuu tukiwa tunaendelea na mada hii nahisi wafia dini watakuja na povu likiwatoka mdomoni kuona wanatukaniwa dini/dhehebu lake, kumbe mfumo ndivo ulivo na historia ipo wazi kutuhukumu.
Hebu tupeane weledi na tuweze kuendelea kujadili huku tukiweka ujazo kidogodogo.
Tukiwa tunasubiri utashi naomba mwenye kuwahi kukisoma kijitabu kidogo kiitwacho, "The secret of terrorist" atupe kidogo kilichojiri ndani ya kijitabu hicho.
Tungekua na comment za msingi na zenye hekima kama hii kweli jamii forum ingestahili 100% jina la home of great thinkers. Lakini kuna watu wana comment upuuzi tu pasipo kugusa hoja ya msingi. Kama jambo hulielewi si ka kimya au fanya utafiti halafu utoe hoja mbadala. Nimeamini unaweza soma ila usielimike.

Mtoa mada mimi nina amini katika hizo mambo, na ni kweli familia hizo ndizo zinazofanya maamuzi mengi ya dunia. Jaribu kutafuta kitj kinaitwa the bilderberg group natumai nimechapa sawa. Hawa ukutana kama sikosei mara moja au mbili kwa mwaka kunadili ni vipi uchumi wa dunia uendeshwe.

Tatizo watu wengi wanaogopa ukweli na kuishia kuziita hizi ni conspiracy theories.
 
Read here under below:-
 
Attachments

Read here under below:-
Mkuu yani imenibidi nianze leo leo kukisoma hiki kitabu, aisee jamaa anachambua mambo. Halafu inakua rahisi kuelewa haya mambo maana mi ni mpenzi sana wa historia kwahiyo naunganisha tu dots. Dah kitaby safi sana hiki, niko chapter 2, nakipeleka taratibu maana kuna ngeli imeenda shule humu hadi raha.

Asante sana aisee.
 
Mkuu inamaana hujui kama VATICAN Ipo? Viongozi wao mbona wanatumia sana sign za Kiuliminati wakati wa salam pindi wakikutana na viongozi au wenzao? Hapa sitaki kuzungumzia issue za kidini, nasimamia hoja hii hii nenda kagoogle utapata mengi kuhusiana na hayo, na ndo maana hata hawa wafuasi wao wadogo wadogo ambao wengi wapo kweney Music/Movie (Entainment) hawa wafuasi wao wakitaka kujitoa wengi hukimbilia kwenye Uislam huko ndo wanahisi wako salama zaidi....Fatilia mahojiano ya Dada yake Michael Jackson hawa jamaa, alisema Michael alihisi uislam pekee ndo sehemu salama kwake, mana walishapanga kumuua n.k...story ndefu nenda google uwajue wafuasi wake wote, na alama zao n.k. mana documentary zao ukiangalia ni kama movie waweza angalia hata 1 hr ila unapata elimu nzuri juu yao.

Mwanzo nilishasema kuwa freemasons walikuwepo kabla ya ukristo ma uislam. Wakati huo dini ilikuwa ni imani moja kuelekea Mungu.

Freemasons walianzisha mpango wa kuiteka dunia wakipinga imani ya dunia kuelekea Mungu.

Freemasons wanatumia akili sana. Ndipo ukaanzishwa mpango dini badala ya imani.
Ndani ya dini kukawekwa madhehebu..

Nirudi kwenye point yako.
Uislam haipingi freemasons wala ukristo haupingi freemason. Ndani ya uislam kuna freemason na ndani ya ukristo kuna ufreemason.

1. Freemason ndio waanzilishi wa ALAMA.. Ndio maana kila dini kuna LOGO. Ndani ya uislam kuna mwezi na nyota.

Kwanini unadhani freemason hukimbilia uislam? Kwasababu
1. Ukristo humtaka tajiri atoe sehemu ya mali yake aipeleke kanisani.. Au fungu la kumi huhimizwa sana ulipeleke kanisani.

2 uislam ni hiari kutoa msikitini. Ndio maana misikiti mingi hujengwa na aidha na mtu mmoja tu yaani hakuna kuhizana juu ya matoleo.

Matajiri wengi ni mabahili. Na waumini wengi hawapendi mambo ya kutoa sadaka.. Ktk ukristo sadaka husisitizwa.. Ktk uislam sadaka ni kama hiari.. Na misikiti humilikiwa na mtu binafsi.

Hii ndio sababu hasa unaodhani ni mafreemasons matajiri hukimbilia uislam wakihofia kutoa sadaka na fungu la kumi vitapunguza utajiri wao. .
 
Bad news kitabu cha author bill hughes kaelezea how Islam religion was made by Vatican, tuache tu hizi dini tufanye yetu, huku khadija kule Maria, huku rozari ya kikristo kule ya Kiislam, huku maka, kule Vatican, huku Muhammad kule papa, huku jiwe linasujudiwa kule sanamu, huku tnachutama kaulize na kule viongozi wa wanasalije, yaan mi sijui kwakweli naendelea kusachi kati ya uislam na ukristo na lipi lipo sawa

Ni kweli uislam ulianzishwa na Vatican. Lkn sio forum ya dini hii. Lkn kama mtu atahitaji kujua sana juu hili anaweza kufuatilia vitabu hasa vya Mkweli mwaminifu. Au kuna vikundi vinakuwaga pale shule ya uhuru kila jioni vinajadiliana.
Siku moja nilimkuta dogo mmoja anaitwa Zebedayo aliichambua vyema mada hiyo andiko kwa andiko.

Au nenda tu kwenye google andika Mihadhara ya dini youtube... Mwanzo wa uislam.. (Sorry kwa kutoka nje ya msingi wa forum. Nilitaka kutoa elekezi ili kukazia comment niloikuta.
)
 
Mwanzo nilishasema kuwa freemasons walikuwepo kabla ya ukristo ma uislam. Wakati huo dini ilikuwa ni imani moja kuelekea Mungu.

Freemasons walianzisha mpango wa kuiteka dunia wakipinga imani ya dunia kuelekea Mungu.

Freemasons wanatumia akili sana. Ndipo ukaanzishwa mpango dini badala ya imani.
Ndani ya dini kukawekwa madhehebu..

Nirudi kwenye point yako.
Uislam haipingi freemasons wala ukristo haupingi freemason. Ndani ya uislam kuna freemason na ndani ya ukristo kuna ufreemason.

1. Freemason ndio waanzilishi wa ALAMA.. Ndio maana kila dini kuna LOGO. Ndani ya uislam kuna mwezi na nyota.

Kwanini unadhani freemason hukimbilia uislam? Kwasababu
1. Ukristo humtaka tajiri atoe sehemu ya mali yake aipeleke kanisani.. Au fungu la kumi huhimizwa sana ulipeleke kanisani.

2 uislam ni hiari kutoa msikitini. Ndio maana misikiti mingi hujengwa na aidha na mtu mmoja tu yaani hakuna kuhizana juu ya matoleo.

Matajiri wengi ni mabahili. Na waumini wengi hawapendi mambo ya kutoa sadaka.. Ktk ukristo sadaka husisitizwa.. Ktk uislam sadaka ni kama hiari.. Na misikiti humilikiwa na mtu binafsi.

Hii ndio sababu hasa unaodhani ni mafreemasons matajiri hukimbilia uislam wakihofia kutoa sadaka na fungu la kumi vitapunguza utajiri wao. .
HIVI unaujua Uislam au unaongea hivi unajua kama Qur'an imegusia hizo dini za kuabudu mungu wa jicho moja ? (Wakati nyie mkiita Freemason, iluminati na bla bla) katika Qur'an kiongozi wa hao wote anaitwa kwa jina la Masih dajjal ambae ina jicho moja tu, huyu na wafuasi wake ndo watakaokuja kupigana tena na Nabii Issa atakaporudi, na hapo ndo utakuwa mwisho wa dunia, hawa Wafuasi wa Massih DAJAL (freemason na Illumati) watakuja kuwa na nguvu mno, Qur'an imeelezea yalopita, yaliopo na yajao bila shaka, wakati nyie mmekuja ijua miaka ya hivi karibuni hii dini tayari Qur'an ilishaelezea na tukapewa na dua ya kujikinga na hawa Masih dajal na nembo yao ni mtu mwenye jicho moja, ambae pia kwenye Qur'an ameelezewa, acha kudanganay kama wanakimbilia kwenye uislam sabab hamna sadaka, wanakimbilia huko sabab ndo sehem pekee salama, wale wafuasi wanawajua, wafuasi wenzao mapapa na mapadre wanakutana kwenye mikutano halaf atakimbiliaje kwa wafuasi hao hao, Michael Jackson anaenda kanisani anamkuta padre wake, akirudi kule kwenye dini zao anamkuta, unadhani akitaka kujitoa atakimbilia kanisani tena?? tafakari sikilia ile documentary vizuri na jinsi dada yake Michael Jackson alivyokkuwa akijibu kwamba Michael aliona sehemu salama ni uislam pekee na si yeye tu, wote wanaojitoa huko ukimbilia kwenye uislam, tafakari.
 
asmaa800 umecomment points nzuri kabisa.ndo hawajiulizi kwanini SUPER star kaMA Michael Jackson
Alisilimu.Kuna siri nzito kuhusu Wacko Jacko na Illuminationers.
Mfano.Kuna nyimbo yake hivi inaitwa Heal The World.
Unajua nini kawambia Illuminationers.?
 
HIVI unaujua Uislam au unaongea hivi unajua kama Qur'an imegusia hizo dini za kuabudu mungu wa jicho moja ? (Wakati nyie mkiita Freemason, iluminati na bla bla) katika Qur'an kiongozi wa hao wote anaitwa kwa jina la Masih dajjal ambae ina jicho moja tu, huyu na wafuasi wake ndo watakaokuja kupigana tena na Nabii Issa atakaporudi, na hapo ndo utakuwa mwisho wa dunia, hawa Wafuasi wa Massih DAJAL (freemason na Illumati) watakuja kuwa na nguvu mno, Qur'an imeelezea yalopita, yaliopo na yajao bila shaka, wakati nyie mmekuja ijua miaka ya hivi karibuni hii dini tayari Qur'an ilishaelezea na tukapewa na dua ya kujikinga na hawa Masih dajal na nembo yao ni mtu mwenye jicho moja, ambae pia kwenye Qur'an ameelezewa, acha kudanganay kama wanakimbilia kwenye uislam sabab hamna sadaka, wanakimbilia huko sabab ndo sehem pekee salama, wale wafuasi wanawajua, wafuasi wenzao mapapa na mapadre wanakutana kwenye mikutano halaf atakimbiliaje kwa wafuasi hao hao, Michael Jackson anaenda kanisani anamkuta padre wake, akirudi kule kwenye dini zao anamkuta, unadhani akitaka kujitoa atakimbilia kanisani tena?? tafakari sikilia ile documentary vizuri na jinsi dada yake Michael Jackson alivyokkuwa akijibu kwamba Michael aliona sehemu salama ni uislam pekee na si yeye tu, wote wanaojitoa huko ukimbilia kwenye uislam, tafakari.
Weka link sio una andika andika tu
 
Pia arejee kwa Mikel Tyson na wale walioabudu mashetani muda mrefu walikimbilia wapi...

Your point noted
 
Na wakitaka kujitoa huko wanawatengezea mizengwe ya kuwafili kwanza, lakin jamaa utumwa ukiwashindwa huona ni bora wafilisike na ndo hutimkia huko.
 
Mwanzo nilishasema kuwa freemasons walikuwepo kabla ya ukristo ma uislam. Wakati huo dini ilikuwa ni imani moja kuelekea Mungu.

Freemasons walianzisha mpango wa kuiteka dunia wakipinga imani ya dunia kuelekea Mungu.

Freemasons wanatumia akili sana. Ndipo ukaanzishwa mpango dini badala ya imani.
Ndani ya dini kukawekwa madhehebu..

Nirudi kwenye point yako.
Uislam haipingi freemasons wala ukristo haupingi freemason. Ndani ya uislam kuna freemason na ndani ya ukristo kuna ufreemason.

1. Freemason ndio waanzilishi wa ALAMA.. Ndio maana kila dini kuna LOGO. Ndani ya uislam kuna mwezi na nyota.

Kwanini unadhani freemason hukimbilia uislam? Kwasababu
1. Ukristo humtaka tajiri atoe sehemu ya mali yake aipeleke kanisani.. Au fungu la kumi huhimizwa sana ulipeleke kanisani.

2 uislam ni hiari kutoa msikitini. Ndio maana misikiti mingi hujengwa na aidha na mtu mmoja tu yaani hakuna kuhizana juu ya matoleo.

Matajiri wengi ni mabahili. Na waumini wengi hawapendi mambo ya kutoa sadaka.. Ktk ukristo sadaka husisitizwa.. Ktk uislam sadaka ni kama hiari.. Na misikiti humilikiwa na mtu binafsi.

Hii ndio sababu hasa unaodhani ni mafreemasons matajiri hukimbilia uislam wakihofia kutoa sadaka na fungu la kumi vitapunguza utajiri wao. .
Ulichoandika n pumba tu acha kudanganya watu. Nenda kasome tena
 
Back
Top Bottom