Hizi ndio fedha ambazo Simba na timu nyingine zitapata katika Kombe la Shirikisho Afrika 2025

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Bingwa $ 2,000,000 (Tsh. Bilioni 5.3)
Wa pili $ 1,000,000 (Tsh. Bilioni 2.6)
Nusu Fainali $ 750,000 (Tsh. Bilioni 2)
Robo Fainali $ 550,000 (Tsh. Bilioni 1.4)
Wa 3 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)
Wa 4 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)

$ ni Fedha ya Dola

CHANZO: CAF

Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Confederation Cup) ilianzishwa Mwaka 2004 baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuunganisha Mashindano ya African Cup Winners' Cup lililoanzishwa Mwaka 1975 pamoja na CAF Cup lililoanzishwa Mwaka 1992

Timu zilizotwaa kombe hilo mara nyingi; CS Sfaxien ya Tunisia (3) nyingine zilizoshinda mara mbili ni RS Berkane ya Morocco, Étoile du Sahel ya Tunisia, TP Mazembeya DRC, Zamalek ya Misri na Raja Casablanca ya Morocco

Ikumbukwe kuwa Fainali ya Mwaka 2025 itazikutanisha Simba ya Tanzania dhidi ya RS Berkane ya Morocco, mchezo wa kwanza utapigwa Mei 17 kwenye Uwanja wa Berkane Municipal, marudio ni Mei 25 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa
 
Hapo jumlisha na pesa za Super Cup, jumlisha na pesa za JayRutty, jumlisha za mdhamini mpya. Kwa pesa hizo, Simba inaweza kumuajiri Hersi, kazi yake iwe tu kumwagilia maji pale Bunju.
 
Dah 🙌
 
Pesa ndogo tu hizo

Hizo 5bilion ni pesa anayonywesha wanayanga soup GSM pale jangwani just imagine

That's y tunalaani michuano ya kombe la wamama [emoji51][emoji51][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Bingwa $ 2,000,000 (Tsh. Bilioni 5.3)
Wa pili $ 1,000,000 (Tsh. Bilioni 2.6)
Nusu Fainali $ 750,000 (Tsh. Bilioni 2)
Robo Fainali $ 550,000 (Tsh. Bilioni 1.4)
Wa 3 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)
Wa 4 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)

$ ni Fedha ya Dola

CHANZO: CAF

Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Confederation Cup) ilianzishwa Mwaka 2004 baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuunganisha Mashindano ya African Cup Winners' Cup lililoanzishwa Mwaka 1975 pamoja na CAF Cup lililoanzishwa Mwaka 1992

Timu zilizotwaa kombe hilo mara nyingi; CS Sfaxien ya Tunisia (3) nyingine zilizoshinda mara mbili ni RS Berkane ya Morocco, Étoile du Sahel ya Tunisia, TP Mazembeya DRC, Zamalek ya Misri na Raja Casablanca ya Morocco

Ikumbukwe kuwa Fainali ya Mwaka 2025 itazikutanisha Simba ya Tanzania dhidi ya RS Berkane ya Morocco, mchezo wa kwanza utapigwa Mei 17 kwenye Uwanja wa Berkane Municipal, marudio ni Mei 25 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa
Vyura (Yanga) wa jangwani wanasemaje kuhusu uhalali wa hili?
 
Naomba kujua mshindi w Muungano Cap uko zenji Bei gani?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hizo bilioni 2.6 mkafanye usajili sasa muache kununuliwa na Yanga kila mnapokutana.
 
Pesa ndogo tu hizo

Hizo 5bilion ni pesa anayonywesha wanayanga soup GSM pale jangwani just imagine

That's y tunalaani michuano ya kombe la wamama [emoji51][emoji51][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Supu ya vibudu haiwezi fikisha hiyo hela , kawadanganye mazuzu wenzako huko utopoloni. Ng'ombe na mbuzi wa kuokota kwenye madampo ifikishe hiyo pesa?
 
umewahi kuwaona mbuzi au ng'ombe kwenye madampo? Kua serious basi.
 
Back
Top Bottom