DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Hapo jumlisha na pesa za Super Cup, jumlisha na pesa za JayRutty, jumlisha za mdhamini mpya. Kwa pesa hizo, Simba inaweza kumuajiri Hersi, kazi yake iwe tu kumwagilia maji pale Bunju.Bingwa $ 2,000,000 (Tsh. Bilioni 5.3)
Wa pili $ 1,000,000 (Tsh. Bilioni 2.6)
Nusu Fainali $ 750,000 (Tsh. Bilioni 2)
Robo Fainali $ 550,000 (Tsh. Bilioni 1.4)
Wa 3 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)
Wa 4 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)
$ ni Fedha ya Dola
CHANZO: CAF
Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Confederation Cup) ilianzishwa Mwaka 2004 baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuunganisha Mashindano ya African Cup Winners' Cup lililoanzishwa Mwaka 1975 pamoja na CAF Cup lililoanzishwa Mwaka 1992
Timu zilizotwaa kombe hilo mara nyingi; CS Sfaxien ya Tunisia (3) nyingine zilizoshinda mara mbili ni RS Berkane ya Morocco, Étoile du Sahel ya Tunisia, TP Mazembeya DRC, Zamalek ya Misri na Raja Casablanca ya Morocco
Ikumbukwe kuwa Fainali ya Mwaka 2025 itazikutanisha Simba ya Tanzania dhidi ya RS Berkane ya Morocco, mchezo wa kwanza utapigwa Mei 17 kwenye Uwanja wa Berkane Municipal, marudio ni Mei 25 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa
M bet muda wake si bado?jumlisha za mdhamini mpya.
Dah 🙌Hapo jumlisha na pesa za Super Cup, jumlisha na pesa za JayRutty, jumlisha za mdhamini mpya. Kwa pesa hizo, Simba inaweza kumuajiri Hersi, kazi yake iwe tu kumwagilia maji pale Bunju.
Vyura (Yanga) wa jangwani wanasemaje kuhusu uhalali wa hili?Bingwa $ 2,000,000 (Tsh. Bilioni 5.3)
Wa pili $ 1,000,000 (Tsh. Bilioni 2.6)
Nusu Fainali $ 750,000 (Tsh. Bilioni 2)
Robo Fainali $ 550,000 (Tsh. Bilioni 1.4)
Wa 3 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)
Wa 4 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1)
$ ni Fedha ya Dola
CHANZO: CAF
Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Confederation Cup) ilianzishwa Mwaka 2004 baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuunganisha Mashindano ya African Cup Winners' Cup lililoanzishwa Mwaka 1975 pamoja na CAF Cup lililoanzishwa Mwaka 1992
Timu zilizotwaa kombe hilo mara nyingi; CS Sfaxien ya Tunisia (3) nyingine zilizoshinda mara mbili ni RS Berkane ya Morocco, Étoile du Sahel ya Tunisia, TP Mazembeya DRC, Zamalek ya Misri na Raja Casablanca ya Morocco
Ikumbukwe kuwa Fainali ya Mwaka 2025 itazikutanisha Simba ya Tanzania dhidi ya RS Berkane ya Morocco, mchezo wa kwanza utapigwa Mei 17 kwenye Uwanja wa Berkane Municipal, marudio ni Mei 25 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa
mental health is real buddyPesa ndogo tu hizo
Hizo 5bilion ni pesa anayonywesha wanayanga soup GSM pale jangwani just imagine
That's y tunalaani michuano ya kombe la wamama [emoji51][emoji51][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Supu ya vibudu haiwezi fikisha hiyo hela , kawadanganye mazuzu wenzako huko utopoloni. Ng'ombe na mbuzi wa kuokota kwenye madampo ifikishe hiyo pesa?Pesa ndogo tu hizo
Hizo 5bilion ni pesa anayonywesha wanayanga soup GSM pale jangwani just imagine
That's y tunalaani michuano ya kombe la wamama [emoji51][emoji51][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
umewahi kuwaona mbuzi au ng'ombe kwenye madampo? Kua serious basi.Supu ya vibudu haiwezi fikisha hiyo hela , kawadanganye mazuzu wenzako huko utopoloni. Ng'ombe na mbuzi wa kuokota kwenye madampo ifikishe hiyo pesa?
Mbet sio miaka minne kweli?na amemaliza,Alianza na vunja bei 2 years ,Sanda 2 yearsM bet muda wake si bado?