Hizi Ndio ID Za Ajabu Sana Humu JF

Uje ulete na uzi wa hizi IDs zenye Avatars za ajabu ajabu...

Kuna ka jamaa kale kila uzi ka kwanza kureply kanaitwa JOSEVEREST kana avatar ya dogo mmoja ana sura kama kabemendwa vile hahahaaaaa... Huwa nacheka sana kila nikikaona...
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jaman mbavu zangu
 
Mkuu zina maana kubwa mbona hususani hii yangu ni ujumbe murua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…