proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jaman mbavu zanguUje ulete na uzi wa hizi IDs zenye Avatars za ajabu ajabu...
Kuna ka jamaa kale kila uzi ka kwanza kureply kanaitwa JOSEVEREST kana avatar ya dogo mmoja ana sura kama kabemendwa vile hahahaaaaa... Huwa nacheka sana kila nikikaona...