Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,058
Nimepaliwa na Maji Mkuu..Yaani dah!!Kuna huyu jamaa anajiita MUSENGE MUKUMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepaliwa na Maji Mkuu..Yaani dah!!Kuna huyu jamaa anajiita MUSENGE MUKUMA
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kuna Mkuu anaitwa Naantombe Mushi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tunakodisha bunduki
[emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61]Tunakodisha bunduki
BADO MMOJAKatika pita pita zangu humu ndani Ni
metokea kuona watu wenye ID za ajabu sijapata kuona hizi ni baadhi...!
.
1.Kazitunayo
2.sigara kali
3.tamuu
4.simba.asiyefugika
5.pumzi haiuzwii
6.Ngozi Mbili
7.Askari mwoga
8.mkwepa kodi
n.k
hizi ni baadhi ya ID za humu ndani
Je wewe ni ID gani inakuacha hoi humu ndani....!!!
Tell us....
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Inamanikusweke
Mzibuachemba
Hii id niliiuliza kama ni kei ama me,ikanishushia mitusi ya kichaga,nikaiambia mwenyewe bwana!Kuna Mkuu anaitwa Naantombe Mushi
Kichwa kichafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui hawa watu huwa wanawaza nini.
Kichwa kichafuSijui hawa watu huwa wanawaza nini.
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Zee la Hekima
Maharage ya Ukweni
Kidowle
Ndondocha mkuu
kuna huyu anajiitaa kwa usalama wanguNa hayo majina lazima yana maana yake waje watuambie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mtu km yupo ani pmfundi chupi
Salama mkuu.Kichwa kichafu