Hizi ndio jezi za singida black stars

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
HIZI NDIO JEZI ZA SINGIDA BLACK STARS

“Hizi ndio aina ya jezi watakazotumia Singida Black Stars Fc zamani Ihefu fc kwa msimu huu wa ligi ya NBC Singida Black star wazamini wao wakuu ni kampuni ya Haier”

Neno Moja kwa Mbunifu wa jezi hizi[emoji116][emoji3578]
 
😂😂😂😂
Wazamini au Wadhamani ??
Nimewaona muda sio mrefu pale Nefaland Hotel
 
Mi yanga namshauri Mwigulu aache kuhangaika na mpira wa singida ye aje yanga mazima washirikiane na gsm tutafika mbali afu yanga itatenga baadhi ya mechi zake zichezwe Lit
Heshimu viongozi mkuu....kuwa mzalendo
 
Ni sheria ngowi??
Hii jezi kesho wazee wa tve kina jemedari lazima waamke nayo
 
Mi yanga namshauri Mwigulu aache kuhangaika na mpira wa singida ye aje yanga mazima washirikiane na gsm tutafika mbali afu yanga itatenga baadhi ya mechi zake zichezwe Lit
Hahahahaha..naongezeq mechi zote za FA wacheze Liti.. na PL wacheze Taifa au chamazi
 
Ata Simba ni mtoto wa Yanga wanapishana kuzaliwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…