Hizi ndio jezi za singida black stars

Ina maana wameshindwa kutafuta rangi yeyote ile mpaka wachukue ya Yanga na baadae tukiwafunga tunaambiwa ni sehemu ya Yanga ya kuchukua points bure...huyo Jamaa anataka kufanya kila kitu kama Yanga tu..
 
Mbona Mamelodi wanavaa rangi moja na Yanga haijawa tatizo Coastal Union na Simba rangi moja , Kagera na Prisons same colour shida ipo wapi
 
Ina maana wameshindwa kutafuta rangi yeyote ile mpaka wachukue ya Yanga na baadae tukiwafunga tunaambiwa ni sehemu ya Yanga ya kuchukua points bure...huyo Jamaa anataka kufanya kila kitu kama Yanga tu..
Hakuna mmiliki wa rangi mkuu
 
Just a quick question, pale EPL Kuna timu ya Aston Villa na West Ham, ushwahi toa maoni kama haya????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…