Hizi ndio kazi na biashara nilizowahi kufanya!

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
1,153
Reaction score
1,359
Hakika maisha ni vita. Maisha ni mapambano. Mimi pia nimekuwa nikijaribu huku na huku ili kuinua kipato cha familia.

Kazi ya kwanza
Baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu, nilitafuta kazi kama mwezi mmoja hivi. Mungu mkubwa, mwezi wa pili nilipata kazi kwenye taasis moja binafsi. Nilifanya nao kazi kwa muda wa miaka miwili. Nikawaambia, nilihitaji baadae kuendelea na masomo naomba muda utakapofika wawe wananipa hata nusu mshahara. Nikirudi nitaendelea nao. Wakasema hawana bajeti hiyo. Basi nikatemana nao kiroho safi. Nikasonga mbele.

Kazi ya pili
Baada ya kutemana na mwajiri wangu wa kwanza nikipata kazi taasis moja ya serikali, hapa nilifanya miezi sita tu, nikaomba uhamisho nikaamia shirika lingine. Ambako ndio nafanyia kazi mpaka leo. Miaka miwili baadae nikapata ruhusa ya kwenda masomoni

Biashara.
Nikiwa kwa muajiri wangu wa kwanza, nilifungua duka. Miaka miwili ya mwanzo nilipata faida sana na biashara ilikuwa inakwenda vizuri. Lakini baadae biashara iliyumba baada ya kuanza masomo na kukosa usimamizi mzuri. Nikaamua kuifunga na bidhaa nikauza kwa watu wengine.

Ufugaji wa kuku
Nikafanya ufugaji wa kuku. Nilitoa kama batch nne hivi. Kuku wa faida nzuri kiasi, ila inachukua muda na inahitaji uangalizi na commintment kama zilivyobiashara nyingine. Sikuifanya biashara hii kwa muda mrefu. Ila nitairudia tena.

Uchimbaji wa madini
Jamaa zangu fulani wakanishawishi kufanya Uchimbaji wa dhahabu. Nikawapatia mtaji kama milioni mbili hivi kwa ajili ya kununua miti na kufanya kazi zingine ikiwemo kupiga baruti. Ule mlipuko wa kwanza tu shimo lote likadidimia. Hawakuwa na nguvu tena za kuendelea. Na mimi woga ukaniingia wa kutoa kuendelea na biashara hiyo. Nikakubali hasara.

Kilimo
Kwa sasa ninafanya kilimo cha bustani. Nawatumia ndugu na baadhi ya watu kama wanne hivi wa kuajiri. Ndio nimeanza awamu ya pili. Wacha niendelee nayo kwanza nitakuja kuwapa feedback

Uvuvi
Hii ni kazi nyingine inayolipa. Ndio kwanza nimeianza. Nimemaliza boat na nyavu 60. Natumaini itakwenda vizuri. Hii ndio imekula mtaji mkubwa kuliko biashara yoyote niliyowahi kufanya.

Maono
Natarajia baadae kuanzisha mabwawa ya kufugia samaki na kuinvest zaidi kwenye kilimo.

Changamoto:
Changamoto kubwa ambayo imekuwa ikinikabili ni usimamizi. Bado najaribu kufigure about solution ya hii changamoto. Kwa sababu biashara hizo zinafanyika eneo tofauti na ninapoishi. Sijui kama una ushauri wowote!
 
pambana bosi .usimamiz funga camera unga katika simu yako au computer mpakato hapo lazma utafuatilia vizur maendeleo ya biashara zako
 
Toa ajira boss ....miradi yote hiyo lazima uajiri watu wa kukusaidia!

Matajiri wakubwa wanabiashara duniani kote wanasimamiaje? Swala hapa ni kuajiri na kutengeneza mifumo huwezi kusimamia biashara inayokua mwemyewe!
 
Unajaribu kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja, ni ngumu sana kufanikiwa ukiwa kwenye ajira.

Ushauri wangu: Tafuta core business, ipe mtaji na muda wa kutosha (ikiwa moja na kazi angalau kufuatilia ni rahisi), ikisimama angalia uwezekano wa kuacha kazi kama hiyo imelipa.

Wakati unataka kuacha kazi ni lazima uwe umeweka mipango ya kuanzisha projects zingine na hapo ukiwa mtaani usimamizi ni rahisi, surprise visits au regular visits ni rahisi, huhitaji likizo wala ruhusa kutoka kazini, ni ratiba yako tu.

Mind you, kama kuna kipaji cha ujasiriamali, na kama siyo risk taker ni bora ubaki kazini ufanye biashara ndogondogo kama hizo.
 
Mtoa mada,
Tokea umeleta ule Uzi wako wa kutuonyesha Vyeti vya Kidato cha Nne.

Aisee,
Nmejikuta Nakudharau sana.

Umenifanya
Nimkumbuke mdau mwenzetu hapa Bw.Deo Kisandu.

Sijui yuko wapi kwa sasa
 
Ushauri mzuri. Asante sana
 
Mtoa mada,
Tokea umeleta ule Uzi wako wa kutuonyesha Vyeti vya Kidato cha Nne.

Aisee,
Nmejikuta Nakudharau sana.

Umenifanya
Nimkumbuke mdau mwenzetu hapa Bw.Deo Kisandu.

Sijui yuko wapi kwa sasa
Ni aina fulani ya watu wasiojiamini. Yaani wewe kilichokuumiza ni cheti. Asshole
 
Unajaribu kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja, ni ngumu sana kufanikiwa ukiwa kwenye ajira.

Ushauri wangu: Tafuta core business, ipe mtaji na muda wa kutosha (ikiwa moja na kazi angalau kufuatilia ni rahisi), ikisimama angalia uwezekano wa kuacha kazi kama hiyo imelipa.

Wakati unataka kuacha kazi ni lazima uwe umeweka mipango ya kuanzisha projects zingine na hapo ukiwa mtaani usimamizi ni rahisi, surprise visits au regular visits ni rahisi, huhitaji likizo wala ruhusa kutoka kazini, ni ratiba yako tu.

Mind you, kama kuna kipaji cha ujasiriamali, na kama siyo risk taker ni bora ubaki kazini ufanye biashara ndogondogo kama hizo.
Umemshauri vizur,

Nitaongezea Machache.

1. Mtoa mada ana utitiri wa biashara,
Unapokua na biashara nyingi, hata usimamizi wake unakua mgumu.

2. Mtoa mada anafanya kosa kubwa sana kufanya biashara na Ndugu wa familia.
Ndugu huwa wanaona wewe Tayar umeshafanikiwa hata kama ndo unaanza,
pia wanajua hata wakiharibh huna cha kuwafanya maana familia itasuluhisha.

3. Mtoa mada hana uvumilivu wa kupambana na changamoto.
Biashara yake akiona inayumba, anapiga chini.

Hili ni tatizo kubwa,
Unatakiwa ujiulize kwann umeshindwa na uweke mikakati madhubuti ya kukomaa na kuzishinda changamoto.

Sio kukimbia na kuhamia biashara mpya.

Ushauri wangu,
Ni kama wa Huyo jamaa hapo juu, Tafuta core biznes iliyoko karibu na ofisi uliyoajiliwa ili uweze kuisimamia kwa urahisi.

Pia, Jiepushe kufanya biashara mpya na Ndugu.

Ndugu wanatakiwa kuja wakati Biashara ishakomaa,

Kwa biashara iliyokomaa, hata akiiba kidogo tu tayar utajua.

Pia kwa biashara iliyokomaa,
Hata akiiba kidogo tu, haitokuathiri sana.

Unaweza kufight back na ndan ya mda mfupi ukaweza kurecover damage.

NAWASILISHA
 
Bro naku appreciate, your multi-talented na hakika kwa Spirit ya aina yako utakuwa umefika mbali sana on your 50's or 60's kama mungu akikupa uzima. Usiache kujaribu vitu vipya mkuu ndio hasa maisha ya kileo yanataka twende nayo hivyo kuna ramani moja ikikamata hapo unaweza jiuliza hio kazi ni ya nini tena. Trust me kuna watu wanatengeneza millions katika nchi hii hii ambayo wengine tunalalamikia mifumo kila kukicha! Kuna mtu million 50-100 kwake ni kitu cha kawaida katika deals zake anazopiga daily! Tusichoke tukomae tu na life wazee!
Hakika maisha ni vita. Maisha ni mapambano. Mimi pia nimekuwa nikijaribu huku na huku ili kuinua kipato cha familia.

Kazi ya kwanza
Baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu, nilitafuta kazi kama mwezi mmoja hivi. Mungu mkubwa, mwezi wa pili nilipata kazi kwenye taasis moja binafsi. Nilifanya nao kazi kwa muda wa miaka miwili. Nikawaambia, nilihitaji baadae kuendelea na masomo naomba muda utakapofika wawe wananipa hata nusu mshahara. Nikirudi nitaendelea nao. Wakasema hawana bajeti hiyo. Basi nikatemana nao kiroho safi. Nikasonga mbele.

Kazi ya pili
Baada ya kutemana na mwajiri wangu wa kwanza nikipata kazi taasis moja ya serikali, hapa nilifanya miezi sita tu, nikaomba uhamisho nikaamia shirika lingine. Ambako ndio nafanyia kazi mpaka leo. Miaka miwili baadae nikapata ruhusa ya kwenda masomoni

Biashara.
Nikiwa kwa muajiri wangu wa kwanza, nilifungua duka. Miaka miwili ya mwanzo nilipata faida sana na biashara ilikuwa inakwenda vizuri. Lakini baadae biashara iliyumba baada ya kuanza masomo na kukosa usimamizi mzuri. Nikaamua kuifunga na bidhaa nikauza kwa watu wengine.

Ufugaji wa kuku
Nikafanya ufugaji wa kuku. Nilitoa kama batch nne hivi. Kuku wa faida nzuri kiasi, ila inachukua muda na inahitaji uangalizi na commintment kama zilivyobiashara nyingine. Sikuifanya biashara hii kwa muda mrefu. Ila nitairudia tena.

Uchimbaji wa madini
Jamaa zangu fulani wakanishawishi kufanya Uchimbaji wa dhahabu. Nikawapatia mtaji kama milioni mbili hivi kwa ajili ya kununua miti na kufanya kazi zingine ikiwemo kupiga baruti. Ule mlipuko wa kwanza tu shimo lote likadidimia. Hawakuwa na nguvu tena za kuendelea. Na mimi woga ukaniingia wa kutoa kuendelea na biashara hiyo. Nikakubali hasara.

Kilimo
Kwa sasa ninafanya kilimo cha bustani. Nawatumia ndugu na baadhi ya watu kama wanne hivi wa kuajiri. Ndio nimeanza awamu ya pili. Wacha niendelee nayo kwanza nitakuja kuwapa feedback

Uvuvi
Hii ni kazi nyingine inayolipa. Ndio kwanza nimeianza. Nimemaliza boat na nyavu 60. Natumaini itakwenda vizuri. Hii ndio imekula mtaji mkubwa kuliko biashara yoyote niliyowahi kufanya.

Maono
Natarajia baadae kuanzisha mabwawa ya kufugia samaki na kuinvest zaidi kwenye kilimo.

Changamoto:
Changamoto kubwa ambayo imekuwa ikinikabili ni usimamizi. Bado najaribu kufigure about solution ya hii changamoto. Kwa sababu biashara hizo zinafanyika eneo tofauti na ninapoishi. Sijui kama una ushauri wowote!
 
Umemshauri vizur,

Nitaongezea Machache.

1. Mtoa mada ana utitiri wa biashara,
Unapokua na biashara nyingi, hata usimamizi wake unakua mgumu.

2. Mtoa mada anafanya kosa kubwa sana kufanya biashara na Ndugu wa familia.
Ndugu huwa wanaona wewe Tayar umeshafanikiwa hata kama ndo unaanza,
pia wanajua hata wakiharibh huna cha kuwafanya maana familia itasuluhisha.

3. Mtoa mada hana uvumilivu wa kupambana na changamoto.
Biashara yake akiona inayumba, anapiga chini.

Hili ni tatizo kubwa,
Unatakiwa ujiulize kwann umeshindwa na uweke mikakati madhubuti ya kukomaa na kuzishinda changamoto.

Sio kukimbia na kuhamia biashara mpya.

Ushauri wangu,
Ni kama wa Huyo jamaa hapo juu, Tafuta core biznes iliyoko karibu na ofisi uliyoajiliwa ili uweze kuisimamia kwa urahisi.

Pia, Jiepushe kufanya biashara mpya na Ndugu.

Ndugu wanatakiwa kuja wakati Biashara ishakomaa,

Kwa biashara iliyokomaa, hata akiiba kidogo tu tayar utajua.

Pia kwa biashara iliyokomaa,
Hata akiiba kidogo tu, haitokuathiri sana.

Unaweza kufight back na ndan ya mda mfupi ukaweza kurecover damage.

NAWASILISHA

Ushauri wa ukweli sana.
 
Asante kwa mawazo mazuri
 
Back
Top Bottom