Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu!
Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu!
.Hzi kombi za kike mnazipendea nini?soma vitu kama pcb,pcm,pgm,cbg,egm,hge au Eca.
.Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu!
hebu punguza dharau kwasababu kuna watu wanaishi kwa kupitia vipato vitukanavyo na hizo taaluma,tena wanalea watoto wao na wasio wakwao,ww kama baba ako au mama ako ni engeneer basi usidharau wengine wasomao taaluma hii,next time try just a little bit to think before posting anything.
nilisoma,nilielewa,mwenzio hakuchangia nje ya mada,majibu yako yakawa nje ya mada kwa kuongelea tatizo la ajiraUnatatizo.Nimekwambia nilimjibu perry, soma perry aliandika nini usikurupuke. Hata kama sikuelewa hujanielewesha.Ndo maaana huwa unaambiwa unajifanya mjuaji sana,huwezi kosolewa..nilikuwa sielewi kwa nini leo nimeelewa . Nakusamehe bure sio kosa lako ni ...........................
kwani umeambatana na wagonjwa?tunakuacha uende zako,pia tambua kuwa yapo mazingira tofauti ambapo hata dakitari atahitaji engineer,lakini engineer ni zaidi ya udakitari,tukikosa dakitari tunaomba afya kwa Mungu lakini huwezi kuomba tekinolojia kwa Munguhivi mkiwa porini mmepotea na Watu wa hizo professional wapo ... kila mmoja anataka awe kiongozi wa group yenu ... bahati mbaya dactari akasema mi napiga lapa atakaye jiunga nami aje. enginere na Hao wengine hivo hivo je .. mtamfata Nani?
kwani umeambatana na wagonjwa?tunakuacha uende zako,pia tambua kuwa yapo mazingira tofauti ambapo hata dakitari atahitaji engineer,lakini engineer ni zaidi ya udakitari,tukikosa dakitari tunaomba afya kwa Mungu lakini huwezi kuomba tekinolojia kwa Mungu
naongea na kichwa ngumu,utasema kemia ndio baba wakati yenyewe ndio imezaliwa na engineer,au wewe ulimzaa baba ama mama yako?mzazi anakuja mwanzo alafu mtoto anafata,uwepo wa engineering haukutegemea kemia,lakini uwepo wa kemia ulitegemea engineering.kaka nadhani hapo unashindwa kuelewa, hata kama industrial or say engeering ilianza lakini ilirudi back to basics kwenye KEMIA, kaka hakuna kitu kisichofata Kemia katika hii dunia, kitu chochote lazima kitakuwa kwenye liquid, gas au solid forms na hizo form ni mchanganyiko wa elements au just single element, Mtu wa Kemia ndio atakwambia hichi chuma kina nini na nini, hii liquid ina nini na nini, za hizi dawa zina nini na nini KEMIA NDIO BABA WA KILA KITU
argue don't just show your expression:thumbdown:
Inawezekana ameijumuisha kwenye namba 2.Uweza ukasahau course za technologia kwa hii dunia ya sasa .technology is grown faster so lazma it or computer science ihusike bila hayo cjui hata hii post ungeiandikia wap? Kama sio kaz nzur ya ICT kutengeneza jf
kwani umeambatana na wagonjwa?tunakuacha uende zako,pia tambua kuwa yapo mazingira tofauti ambapo hata dakitari atahitaji engineer,lakini engineer ni zaidi ya udakitari,tukikosa dakitari tunaomba afya kwa Mungu lakini huwezi kuomba tekinolojia kwa Mungu
mimi nadhani koz zote zina umuhimu ...hata hiyo education unayoidharau..unamkumbuka mwl wako wa std one?? ukiweza kukumbuka alikokutoa utawahesim sana waalimu. afu jiulize kwa nn mama yako maybe ni doctor hakukufundisha akakupeleka shule,c o kla mtu anaweza kufundisha ndo mana hyo koz ikawepo.Umenena mkuu!
Unashida wewe, hujijui tu.wewe tu ndo unaelewa.nani kataja ajira? Ila samahani ningejua toka mwazo nisingekujibu. Kwa heri.nilisoma,nilielewa,mwenzio hakuchangia nje ya mada,majibu yako yakawa nje ya mada kwa kuongelea tatizo la ajira