unaweza kuniambia iliwezekanaje katika industrial revolution ikaanza engineering innovations alafu engineering innovations ndizo zikasaidia kuibuka kwa sayansi ya kemia?hapa hoja sio element ya kemia bali hoja ni kozi ipi ambayo inaonekana mama kwa kozi nyingine,mathalani naweza leo kusema sayansi ya kemia isingeibuka bila kuwepo kwa engineering sayansi maana ilizaliwa na engineering technology na haikuwezekana kwanza kuibuka kwa kemia na kemia haikuzaa engineering technology,elewa hoja ya mada na usiongelee kemia kwa maana ya carbon ambayo unaweza kusema karibu kila kitu kina carbon