Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

Jaribu bac kuwa muungwana ndugu! Ninachoamin mim kila koz ni muhim ila wa2 wanazipenda hzo sana zilizoorodheshwa.. Ukimwulza bwana shamba atasema koz yake ndo bora zaid... Docta nae atajcf... Engineer pia atasema hakuna bora zaid yake! Lakn ukwel unabak palepale koz zote ni muhmu kwa sabab znategemeana tu.
kila kitu ndio ni muhimu lakini umuhimu haufanani,na huwezi kunishawishi kuwa umuhimu unalingana,mimi nasema engineering courses ndio zimeonyesha maajabu makubwa sana hapa duniani kuliko kozi zote na kozi zingine zimeboreshwa zaidi na engineering courses,mathalani leo hata walimu wanafurahia matumizi ya engineering kozi maana zimerahisha kazi zao,madakitari nao wanategemea vyombo vingi sana vya kisasa ambavyo ni matokeo ya engineering courses
 
EDUCATION ndio UALIMU? Sio kozi,ni WITO Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sina mbavu mie,kweli ualimu ni wito sio kozi
 
KAKA hakuna kitu kisicohusisha kemia katika dunia hii, kila kitu kina elements, NAMAANISHA KILA KITU, hizo indusrty unazozisema zinatengeneza nini? hicho kinachotenegezwa lazima kitakuwa na Kemia ndani yake, KEMIA NDIO BABA WA KILA KITU
unaweza kuniambia iliwezekanaje katika industrial revolution ikaanza engineering innovations alafu engineering innovations ndizo zikasaidia kuibuka kwa sayansi ya kemia?hapa hoja sio element ya kemia bali hoja ni kozi ipi ambayo inaonekana mama kwa kozi nyingine,mathalani naweza leo kusema sayansi ya kemia isingeibuka bila kuwepo kwa engineering sayansi maana ilizaliwa na engineering technology na haikuwezekana kwanza kuibuka kwa kemia na kemia haikuzaa engineering technology,elewa hoja ya mada na usiongelee kemia kwa maana ya carbon ambayo unaweza kusema karibu kila kitu kina carbon
 
xo, how now comes shule za ilboru na mzumbe wako chini ya walimu tena wa stashahada, na wengi mliopiga engineering baada ya kukosa vya kufanya na taaluma zenu mnahangaika kuomba kufundisha, mtakufaga na taaluma zenye wachina bongo
mbona nyie walimu mnaabisha hata kazi hiyo kama ndo hamuelewi kiasi hiki,ama ni wale wa voda fasta,mada haiongelei upatikanaji wa ajira bali inaongelea umuhimu wa vitivo mbalimbali katika jamii na dunia,je ipi ni muhimu?hata stive Jobs hakuwa na kigezo cha kuajiliwa lakini leo mamilioni ya watu duniani ukiwemo wewe unafurahia ugunduzi wake chini ya sayansi ya computer,so angalia umuhimu kwa jamii na michango chanya kwa jamii kwa kozi husika kama hawa ndio walimu wenyewe bora wanafunzi waendelee kujisomea wenyewe maana hawapati vitu vya maana sasa kama mwalimu haelewi hata hoja ya mada ingekuwa swali si ushawapeleka chaka wanafunzi
 
Ulipoicha journalism "the voice for changes" nimeamini kweli wewe ni mvivu wa kufikiri
 
Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu!
Kajaribu usome ualimu na ku major Physics,mathematics, Biology au chemistry.sio rahisi kama unavyodhani. "kozi rahisi ya mwenzio".
 
M a doctoR of HumanitY... everywheRe M applicablE.... VeterinaRY medicenE foR liFe
 
Kajaribu usome ualimu na ku major Physics,mathematics, Biology au chemistry.sio rahisi kama unavyodhani. "kozi rahisi ya mwenzio".

kama na wewe ni mwalimu wa kutufundishia watoto na wadogo zetu taifa limeangamia maana walimu kama ndo wako hivi sishangai kuona division five,kama mwalimu unashindwa kuelewa hoja ya mada alafu unarukia tu vitu vingine ni ushahidi kuwa hata hoja ya mada hii hujaielewa mpaka sasa.

hapa tunazungumzia umuhimu na sio ugumu wa kozi ama somo. ungeniliza ugumu wa masomo ningekwambia ni physics lakini hiyo siyo mada hapa ama ingekuwa ugumu wa kozi ningeweza sema ni medicine ama electronics ama electrical lakini hizi sio mada hapa.
 
Nimemjibu Perry sio mada,ndo maana nilimnukuu. h kutokana na dharau aliyotumia kwamba uanaume unapimwa kwa kozi uliyosoma.
 
Nimemjibu Perry sio mada,ndo maana nilimnukuu. h kutokana na dharau aliyotumia kwamba uanaume unapimwa kwa kozi uliyosoma.

mimi ni mtu mwingine kabisa na aliyekujibu,ila nililazimika kukujibu baada ya kuona huelewi tunachoongelea hapa maana umechangia mambo nje kabisa ya mada
 
kama na wewe ni mwalimu wa kutufundishia watoto na wadogo zetu taifa limeangamia maana walimu kama ndo wako hivi sishangai kuona division five,kama mwalimu unashindwa kuelewa hoja ya mada alafu unarukia tu vitu vingine ni ushahidi kuwa hata hoja ya mada hii hujaielewa mpaka sasa.

hapa tunazungumzia umuhimu na sio ugumu wa kozi ama somo. ungeniliza ugumu wa masomo ningekwambia ni physics lakini hiyo siyo mada hapa ama ingekuwa ugumu wa kozi ningeweza sema ni medicine ama electronics ama electrical lakini hizi sio mada hapa.[/QUOT..
Div 5 ni kosa la wazazi na watoto wao kama wewe unashambulia hujaona namjibu nani?au nawewe ni div 5. umesoma alichoandika perry?au wewe pia ni perry?
 
mimi ni mtu mwingine kabisa na aliyekujibu,ila nililazimika kukujibu baada ya kuona huelewi tunachoongelea hapa maana umechangia mambo nje kabisa ya mada
Unatatizo.Nimekwambia nilimjibu perry, soma perry aliandika nini usikurupuke. Hata kama sikuelewa hujanielewesha.Ndo maaana huwa unaambiwa unajifanya mjuaji sana,huwezi kosolewa..nilikuwa sielewi kwa nini leo nimeelewa . Nakusamehe bure sio kosa lako ni ...........................
 
Mmmmh me wacha niwe mpole na kataaluma kangu kasikokuwa na umuhimu ila kwa kamshahara + 10% nawaacha mbali sana wote wenye hizo professional
 
hivi mkiwa porini mmepotea na Watu wa hizo professional wapo ... kila mmoja anataka awe kiongozi wa group yenu ... bahati mbaya dactari akasema mi napiga lapa atakaye jiunga nami aje. enginere na Hao wengine hivo hivo je .. mtamfata Nani?
 
unaweza kuniambia iliwezekanaje katika industrial revolution ikaanza engineering innovations alafu engineering innovations ndizo zikasaidia kuibuka kwa sayansi ya kemia?hapa hoja sio element ya kemia bali hoja ni kozi ipi ambayo inaonekana mama kwa kozi nyingine,mathalani naweza leo kusema sayansi ya kemia isingeibuka bila kuwepo kwa engineering sayansi maana ilizaliwa na engineering technology na haikuwezekana kwanza kuibuka kwa kemia na kemia haikuzaa engineering technology,elewa hoja ya mada na usiongelee kemia kwa maana ya carbon ambayo unaweza kusema karibu kila kitu kina carbon

kaka nadhani hapo unashindwa kuelewa, hata kama industrial or say engeering ilianza lakini ilirudi back to basics kwenye KEMIA, kaka hakuna kitu kisichofata Kemia katika hii dunia, kitu chochote lazima kitakuwa kwenye liquid, gas au solid forms na hizo form ni mchanganyiko wa elements au just single element, Mtu wa Kemia ndio atakwambia hichi chuma kina nini na nini, hii liquid ina nini na nini, za hizi dawa zina nini na nini

KEMIA NDIO BABA WA KILA KITU
 
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE

Umeandika upuuzi!best courses now are logistic,epidimiology,software engineering,ethical hacking,law,actuarial etc
 
Back
Top Bottom