ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
- Thread starter
-
- #161
anayosema PERRY ni kweli, me mwenyewe huwa najiuliza kweli mtoto wa kiume kuchukua hkl, sijui na h kunani hizo nyingine! yani wanashindwa hata na dada zetu wanaochukua medicine! tena me naona hata hiyo law wamefanya makosa kuipa nafasi ya 3. ya tatu ilitakiwa kuwepo veternary medicine.
marahaba mwana funzi, jana tulijifunza nini?????? kimya............... nakuuliza wewe mwanfunzi dikembe ??? kazi kupasha madawati tuu hapa jamiiforum hutaki hata kushughurisha kichwa yako, haya shika chini m.b.u.rula wewe.shkaaamooo mwaaalim
sio kweli fani muhimu ya kwanza ni sheria kisha vet med kisha human med n.kwakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.medicine 2.engineering 3.law 4.nursing 5.economics 6.accounts 7.veternary medicine 8.architecture
.
Kaka hupati
.
Daktari bila Daktari
Engeneer bila engeneer
.
Mwalimu anakaa wapi hapo?
nan kasema? Kila mwamba ngoma huvutia kwake japo mm ni mwalimu ctak kuvutia kwangu ukwel ni kuwa course zote ni muhim na zinategemeana ktk maishawakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.medicine 2.engineering 3.law 4.nursing 5.economics 6.accounts 7.veternary medicine 8.architecture