ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
- Thread starter
- #161
anayosema PERRY ni kweli, me mwenyewe huwa najiuliza kweli mtoto wa kiume kuchukua hkl, sijui na h kunani hizo nyingine! yani wanashindwa hata na dada zetu wanaochukua medicine! tena me naona hata hiyo law wamefanya makosa kuipa nafasi ya 3. ya tatu ilitakiwa kuwepo veternary medicine.
Mkuu nimepanga random tu sijazingatia ya kwanza