ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
NadhaniUweza ukasahau course za technologia kwa hii dunia ya sasa .technology is grown faster so lazma it or computer science ihusike bila hayo cjui hata hii post ungeiandikia wap? Kama sio kaz nzur ya ICT kutengeneza jf
Jeshi vipi?
Hii inaonyesha humu ndani kumejaa SHKAAAAMOOO MWAAAALIM.Hivi una akili kweli wewe? hakuna chochote hapo bila Education.Hupati nesi bila mwalimu, daktar bila mwalimu, mhandisi bila mwalimu.Futa au ongeza education kwenye huo uzi vingnevyo nawambia walimu kuwa hawana umuhimu mashuleni, hivyo wagome mara moja.
Maslahi ndio yanaleta huo umuhimu mama.Taaluma zinategemeana tusidamganyane ila maslahi ndo yanapishana.