Hizi ndio lugha 20 zinazozungumzwa zaidi duniani

Hizi ndio lugha 20 zinazozungumzwa zaidi duniani

Inawezekanaje India ikawa na watu zaidi ya Bilion moja lakini Kihindi kikazungumzwa na watu milioni 609?? Au ndani ya India kuna Lugha nyingine zenye nguvu?
Waindia sio wamoja, kuna Hindi, Telugu and so forth,

Kuna jamii nyingi za Wahindi ambao first language sio Hindi
 
Kiswahili kilitakiwa kiwekwe kwenye hii List, I believe kwa Africa pekee Kiswahi ni kama Lugha ya 5
 
Swahili is “among the 10 most widely spoken languages in the world, with more than 200 million speakers,” UNESCO states in its proposal to Member States last month to proclaim World Kiswahili Language Day.


Nimeshangaa sana kutokukiona kiswahili hapo wakati kina idadi kubwa ya watu wanaokizungumza
Hiyo list ya mtoa thread imeandikwa kimaslahi.
 
Back
Top Bottom