Kuna mwaka fulani mwana mmoja wa familia ya nzito ya Saudia alifia Tanzania na kilichomua ni matumizi ya ngada. Kwa hiyo hata katika hizo nchi ambazo kuna sheria kali kuhusu ngada sio kwamba ngada hamna zipo na tena zinatumiwa na wakubwa. Huyo marehemu alikuwa ni mtumiaji toka akiwa Saudia. Ni sawasawa kwenye nchi za kiarabu ukahaba hauruhusiwi ila wananchi wa nchi hizo utakuta wanaagiza wanawake na mashoga ili wakatimize tamaa zao chafu.Lakini Iran kuna tatizo kubwa la watumiaji wengi wa madawa ya kulevya, biashara itakuwa ni miradi ya maafisa wanakula sahani moja na mapusha, hizo sheria zimewekwa kupunguza ushindani
Na punda akifanikiwa kupenyeza ngada China malipo yake yanakuwa mazuri zaidi na ndiyo maana pamoja na adhabu zote hizo lakini punda bado wataendelea kubeba mizigo kupeleka ChinaChina kuna sehemu KITANZI kuna maeneo KIFUNGO na kuna maeneo ukikamatwa na madawa haijulikani kama unaenda kufungwa au kuuliwa yaan unapotea kabisa unless lbda uwe unatoka katika nchi amabayo china ni friend au ina maslahi nayo sana ndio itafanyika diplomasia
tofauti ma hapo unapotea mazima
mm naona hii sheria ni nzuri sana hata hapa TANZANIA ingeletwa sheria hiyo
tumepoteza NGUVU kazi kubwa sana ya TAIFA kutokana na vijana kuwa na uraibu na hayo madawa tumepoteza hata marafiki ndugu wa karibu kabisa amabayo wangekiwa tija na msaada kwa familia zetu lkn mwisho imekuwa mzigo inauma sana
Nilivoiona Iran kwenye list nilidharau tu. Iran inakuzwa sana; mara nyingi ukiona wana nyonga mtu kwa kosa either la ulawiti au hayo madawa ya kulevya, ndani ndani huko ujue mtu huyo kapewa tu jina baya, mara nyingi huaga ni issues za kidini. Muislam kaamua kwenda Ukristo then anapewa hiyo scandal either ya dawa za kulevya au ushoga. Iran na dawa za kulevya??? Tuache tu, wa kwa Mtambani wasije nipiga mawe bureLakini Iran kuna tatizo kubwa la watumiaji wengi wa madawa ya kulevya, biashara itakuwa ni miradi ya maafisa wanakula sahani moja na mapusha, hizo sheria zimewekwa kupunguza ushindani
Achaneni na Stori za kutunga,Yaani kabisa Riz1 abebe sembe yeye mwenyewe?Inaweza ikawa kweli ni Supplier lakini kwa akili ya kawaida Baba wakati ule ni number 1,Yeye abebe mzigo mwenyewe kweli?Rizimoja kiwete aliponapona nchi gani ile! Au ilikua stori ya kutunga
Mkuu kwani tatizo liko wapi na ww kuwa punda ili uende upige hela tuone kama hicho kichwa utarudi nacho.Nilivoiona Iran kwenye list nilidharau tu. Iran inakuzwa sana; mara nyingi ukiona wana nyonga mtu kwa kosa either la ulawiti au hayo madawa ya kulevya, ndani ndani huko ujue mtu huyo kapewa tu jina baya, mara nyingi huaga ni issues za kidini. Muislam kaamua kwenda Ukristo then anapewa hiyo scandal either ya dawa za kulevya au ushoga. Iran na dawa za kulevya??? Tuache tu, wa kwa Mtambani wasije nipiga mawe bure
Hii story ya Riziwani ni dhana tu iliyo sambazwa na wapinzani wa Kikwete kwa maslahi ya kisiasa.Achaneni na Stori za kutunga,Yaani kabisa Riz1 abebe sembe yeye mwenyewe?Inaweza ikawa kweli ni Supplier lakini kwa akili ya kawaida Baba wakati ule ni number 1,Yeye abebe mzigo mwenyewe kweli?
Hata hizo nchi nilizo zitaja hapo zote zina watumiaji wengi tu wa ngada sema wanaweka sheria kama hizo ili angalau wapunguze tu.Lakini Iran kuna tatizo kubwa la watumiaji wengi wa madawa ya kulevya, biashara itakuwa ni miradi ya maafisa wanakula sahani moja na mapusha, hizo sheria zimewekwa kupunguza ushindani
Inatoka pakistaniHivi wauza sembe nawapata wapi wanipe Sembe nipeleke Iran au Indonesia