Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

China kuna sehemu KITANZI kuna maeneo KIFUNGO na kuna maeneo ukikamatwa na madawa haijulikani kama unaenda kufungwa au kuuliwa yaan unapotea kabisa unless lbda uwe unatoka katika nchi amabayo china ni friend au ina maslahi nayo sana ndio itafanyika diplomasia
tofauti ma hapo unapotea mazima
mm naona hii sheria ni nzuri sana hata hapa TANZANIA ingeletwa sheria hiyo
tumepoteza NGUVU kazi kubwa sana ya TAIFA kutokana na vijana kuwa na uraibu na hayo madawa tumepoteza hata marafiki ndugu wa karibu kabisa amabayo wangekiwa tija na msaada kwa familia zetu lkn mwisho imekuwa mzigo inauma sana
Jaribu ukamatwe na hizo mambo ndo utajua tanzania kuna sheria au sharia.
 
Supliers wa bongo na kenya hata east africa nzima wanachukua mzigo toka pakistani
Iran pamoja na sheria kali sana walizo ziweka lakini madawa ya kulevya yanatiririka kama kawaida ndani ya nchi hiyo kutokana na kushea mpaka na pakistani na Afghanistan ambao ndo wasambazaji wakubwa wa unga asia ya kati yote.
 
Jaribu ukamatwe na hizo mambo ndo utajua tanzania kuna sheria au sharia.
Tz ukiwa na pesa na konekshen na wakubwa unatoboa mapema sana wala hutahangaika.
Lakini kwenye hizo nchi nilizo kutajia hata uwe na pesa kama mchanga, uwe na cheo gani ukikamatwa kitanzi kitakuita. Iran walisha wahi kumnyonga mtoto wa kiongozi mkubwa ndani ya nchi hiyo kwa kujihusisha na hiyo biashara.
Mwaka juzi Saudia ilimnyonga mwana familia wa kifarume baada ya kutuhumiwa kufanya hiyo biashara.
China iliwahi kumnyonga makamu wa mwenyekiti wa chama cha Kikomunisti cha nchi hiyo baada ya kubainika anapokea rushwa kutoka kwa madira wakubwa wa kisambaza dawa za kulevya.
 
Nchi nyingi za Mashariki ya kati na Asia ya kati zina sheria kali sana linapo kuja suala la kukabiliana madawa ya kulevya,hizi ndo nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya kukiepuka kitanzi sijui ashuke malaika gani.
(1)Iran 🇮🇷 ndani ya Iran ni bora ukamatwe ukiifanyia upelelezi Israel au Marekani lakini usiombe ukamatwe na aina yeyote madawa ya kulevya utataga kiufupi hakuna muujiza wakukunusuru na kitanzi,kesi zinazo husu madawa ya kulevya hukumu zake huwa zinatekelezwa ndani ya muda mfupi sana.
(2)Saudi Arabia 🇸🇦 hii na yenyewe hutoboi.
(3)Indonesia 🇮🇩 hutoboi.
(4)Malaysia 🇲🇾 hutoboi
(5) Vietnam 🇻🇳 hutoboi hata huyo mkenya aliye kamatwa kwenye hiyo nchi atanyongwa tu hata dunia ipige kelele kiasi gani.
(6)Singapore hutoboi
China 🇨🇳 japo kuwa nao wana sheria kali kuhusu madawa ya kulevya lakini kuna wakurugwa kibao wametoboa kwenye kesi kama hizo wakahukumiwa kwenda jera tu na si kunyongwa.
Lakini pamoja na hayo bado wakurungwa wanajitoa muhanga na kuna wengine huwa wanafanikiwa kupenya.
Kwenye list yako Iran mtoe hapo,
Nchi nuksi Kwa kunyonga ni
A-vietnam
-singapore.
-saud Arabia - KITANZI.

B -Malaysia
- Indonesia
- China
- Japan
- Iran
-Sri Lanka
-Bangladesh
Kifungo si chini ya miaka 20 ila hawanyongi Wala hawafungi maisha..

Kwa Africa Tanzania inaogopeka sana Kwa kufunga kifungo kirefu kuliko inchi yeyote Africa..
Tanzania ndy inchi pekee Africa inafunga maisha..
 
Iran pamoja na sheria kali sana walizo ziweka lakini madawa ya kulevya yanatiririka kama kawaida ndani ya nchi hiyo kutokana na kushea mpaka na pakistani na Afghanistan ambao ndo wasambazaji wakubwa wa unga asia ya kati yote.
Iran imefungwa sn miaka 15 unarudi kula ugali na dagaa mtaani,,

Kivumbi hapa Kwenye inchi ya kusadikika .

Tunatolea macho wauza madawa kuliko wanaotapeli na kuhujumu inchi.
 
Back
Top Bottom