Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

🤣🤣🤣 Ah alikuwa anasukuma mzigo bwana ata pale kwetu kitaaa mie nilisukuma mzigo toka kwake ndio na mie kushika shika hela za maana. Mwana alinyongwa huko karachi...daah rip west is best😭😭😭😭
Labda alikuwa guarantee jamaa wakamuua
Lakini ktk inchi za Asia ambazo waafrica waliizichezea Kwa kuingia na kutoka ni Pakistan..

Hawanyongi mkuu.

Ogopa sana hizo inchi
Bangladesh , Malaysia,Thailand hunyongwi ila SI chini ya miaka ndani 30 .
Hizo Singapore, Vietnam,, Saudi Arabia hapo usipachezee.
Hapo kitanzi au panga lazima..
 
Ila hao wote kiboko yao marekani tuu. Akisema mfungwa ni us citizen atarudishwa marekani atarudishwa tuu. Wenzetu wanajali sana damu zao.
 
Mkuu unafanya upotoshaji.
 
Mkuu bila shaka ww utakuwa na dunia yako kwa sheria za pakistani ukikamatwa na kuanzia kg 2 hukumu yake ni kifo.
Mkuu usisikilize maneno ya vijiweni.

Usitake nimwage mtama kwenye kuku wengi.

Ila elewa naongea through experience.
Hzo inchi ndy balaa sana.
Ila hao wote kiboko yao marekani tuu. Akisema mfungwa ni us citizen atarudishwa marekani atarudishwa tuu. Wenzetu wanajali sana damu zao.
Hayo mambo ya vijiweni mkuu,,
Nenda Thailand huko wamarekani kibao jela .
Ila balozi zao wanawasimamia na kuomba raia wao wakamalizie kifungo kwao
Hyo ni baada ya kutumikia nusu ya kifungo chao..

Inchi nyingi za ulaya pia wanafanya hivyo.
Mfano France,nk
 
Mkuu mimi
Mkuu unafanya upotoshaji.
Naongea Kwa experience sio kusikia.
Elewa neno experience..
Mimi nimeshaishi hizo inchi zote chafu chafu.
Mtu hanidanganyi chochote..
Nikikwambiya elewa bas mkuu.
 
Mkuu mimi

Naongea Kwa experience sio kusikia.
Elewa neno experience..
Mimi nimeshaishi hizo inchi zote chafu chafu.
Mtu hanidanganyi chochote..
Nikikwambiya elewa bas mkuu.
Hapa tunaenda na takwimu kwa mujibu wa vyanzo zinavyo tambulika kimataifa na si kwa maoni yako.
Ww kuishi kwenye nchi hizo haimaanishi kuwa unazijua sheria za nchi hiyo maana kuna watz kibao ambao hawajui sheria zinazo ongoza nchi yao.
Kwanza ulipo sema eti Iran na China hazinyongi wauza madawa hali ya kuwa ndo nchi zinazo ongoza kwa unyongaji ndo umejidhihirisha ya kwamba unaongea mambo kutoka kichwani mwako.
Nchi kuwa na adhabu ya kifo kuhusu kosa fulani haimaanishi kwamba wote watakao fanya kosa hilo basi watapewa adhabu ya kifo bali hukumu hutokana na jinsi lilivyo fanyika na uzito wa kosa husika.
Iran inanyonga wauza madawa lakini ni mpaka ukamatwe na kiasi kuanzia nusu kilo, china inanyonga wauza madawa lakini ni mpaka ukamatwe na kiasi cha kuanzia kilo moja ukikamatwa na chini ya hapo unahukumiwa kwenda jera.
Tanzania ina hukumu ya kifo kwa mtu anaye fanya mauaji lakini haimaanishi kuwa kila mtu atakaye uwa atahukumiwa kifo bali hukumu itatokana na mazingira ya mauaji.
 
Mkuu usisikilize maneno ya vijiweni.

Usitake nimwage mtama kwenye kuku wengi.

Ila elewa naongea through experience.
Hzo inchi ndy balaa sana.

Hayo mambo ya vijiweni mkuu,,
Nenda Thailand huko wamawekani kibao jela .
Ila balozi zao wanawasimamia na kuomba raia wao wakamalizie kifungo kwao
Hyo ni baada ya kutumikia nusu ya kifungo chao..

Inchi nyingi za ulaya pia wanafanya hivyo.
Mfano France,nk
Mkuu hakuna haja ya kubishana simu unayo nenda goorge kaasachi ni makosa gani ambayo hukumu yake ni kifo nchini pakistani tuone kama kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya.
Mkuu nadhani ww ndo unaongea mambo kwa mujibu wa maneno ya vijiweni.
 
Hii biashara nchi zote inamilikiwa na viongozi wa serilaki.

Ukitaka kuamini, Tizama sasa hivi mateja kibao kila kona hawoni shida kwasababu wao ndo supplier.

Ikitaka kuwasikia Serikali wana kazi, wasikie kuna supplier mpya kaingia mjini, au naye ana supply kwenye soko lao.

Hizo operation za kumtafuta huyo supplier hazitakuwa ndogo, na akikamatwa wanatulia tena.
 
Hapa tunaenda na takwimu kwa mujibu wa vyanzo zinavyo tambulika kimataifa na si kwa maoni yako.
Ww kuishi kwenye nchi hizo haimaanishi kuwa unazijua sheria za nchi hiyo maana kuna watz kibao ambao hawajui sheria zinazo ongoza nchi yao.
Kwanza ulipo sema eti Iran na China hazinyongi wauza madawa hali ya kuwa ndo nchi zinazo ongoza kwa unyongaji ndo umejidhihirisha ya kwamba unaongea mambo kutoka kichwani mwako.
Nchi kuwa na adhabu ya kifo kuhusu kosa fulani haimaanishi kwamba wote watakao fanya kosa hilo basi watapewa adhabu ya kifo bali hukumu hutokana na jinsi lilivyo fanyika na uzito wa kosa husika.
Iran inanyonga wauza madawa lakini ni mpaka ukamatwe na kiasi kuanzia nusu kilo, china inanyonga wauza madawa lakini ni mpaka ukamatwe na kiasi cha kuanzia kilo moja ukikamatwa na chini ya hapo unahukumiwa kwenda jera.
Tanzania ina hukumu ya kifo kwa mtu anaye fanya mauaji lakini haimaanishi kuwa kila mtu atakaye uwa atahukumiwa kifo bali hukumu itatokana na mazingira ya mauaji.
Sikiliza mkuu,,
Mwaka 2001 iiran police force ilivamia maeneo yote wanayoishi watu weusi Kitk mji wa Tehran.

Hii ni baada ya kugunduwa kuwa 90% ya maiti wanaotupwa milimani na kutelekezwa Miili yao ni watu weusi.

Jamaa waka trace wakagunduwa kwmba Kuna watu wanatupwa huko milimani na 💯 ni watu wanaokufa Kwa madawa ya kulevya.

Police wallikamata tax Moja ambayo ndy iliyokuwa Ina deal na kubeba miili ya watu weusi wote na kwenda kutupwa huko milimani karibu na border la uturuki.
Walimbana dereva wa. Tax akawapa mchongo wote.

Saa kumi usiku hotel zote zinazokaliwa na watu weusi Tehran ziliivamiwa Kwa wakati mmoja na kukamata watu weusi zaidi ya 1000 na kuwakuta na madawa ya kulevya kilo zaidi ya 200 ktk hotel vyumba tofauti..

Miongoni mwao ni watanzania, Kenya, Nigeria nk..

Hao ndugu zetu walifungwa Kwa kukutwa na madawa ndani hotelini. Baada ya miaka kadhaa wote wapo uraiani hapa kwetu tanzania na wengine wapo ulaya huko wanandelea na maisha yao kama kawaida..
Punguzeni ujuwaji kama vitu huelewi.

Elewa neno experience Wacha ubishani.
Hata china Kuna sehem ukikamatwa unafungwa sana na Kuna sehem unafungwa SI chini ya miaka 10 unaachiwa.
Beijin ndy pabaya zaidi ukikamatwa lakini Guangzhou miaka 10 Hadi 15 upo nyumbani unakula ugali na dagaa....
Wapo watu walifungwa china na wapo humu mitaani wanakula wali kuku.
 
Aliye kwambia nani Iran imesha nyonga wamarekani kibao.
Marekani na Iran Wana vizasi vyao, toka zamani.
Pia hakuna mzungu anayefata madawa Iran zaidi ya kuwa spy.

Kesi ya mtu mweusi na madawa Iran sio issue kubwa sn..
 
I
Kwenye list yako Iran mtoe hapo,
Nchi nuksi Kwa kunyonga ni
A-vietnam
-singapore.
-saud Arabia - KITANZI.

B -Malaysia
- Indonesia
- China
- Japan
- Iran
-Sri Lanka
-Bangladesh
Kifungo si chini ya miaka 20 ila hawanyongi Wala hawafungi maisha..

Kwa Africa Tanzania inaogopeka sana Kwa kufunga kifungo kirefu kuliko inchi yeyote Africa..
Tanzania ndy inchi pekee Africa inafunga maisha..
Indonesia ni kitanzi,Wa Nigetia kibao wamenyongwa Indonesia
 
Hii biashara nchi zote inamilikiwa na viongozi wa serilaki.

Ukitaka kuamini, Tizama sasa hivi mateja kibao kila kona hawoni shida kwasababu wao ndo supplier.

Ikitaka kuwasikia Serikali wana kazi, wasikie kuna supplier mpya kaingia mjini, au naye ana supply kwenye soko lao.

Hizo operation za kumtafuta huyo supplier hazitakuwa ndogo, na akikamatwa wanatulia tena.
Dunia kote popote kwenye rushwa i hii biashara haifii.

Hii biashara ya madawa mkitaka ife kwanza mdeal na rushwa..

Pili watafute watu wanaojuwa mfumo mzima wa uingizaji na usambazaji na wauzaji.

Hapo madawa ya kulevya tutayasikia kwenye tv.

Serikali inapaswa iongeze udhibiti mkubwa kwenye uingizaji inchini.
Na sio kutumia nguvu kubwa kwenye kuzuia uuzwaji na usambazaji.

Je jiulize madawa yanaingiaje?kwani watu wa usalama hawapo?

Kuna weakness kubwa sana kwenye kidhibiti uingizaji madawa inchini na rushwa ndy tatizo kubwa sn.
 
Mkuu hakuna haja ya kubishana simu unayo nenda goorge kaasachi ni makosa gani ambayo hukumu yake ni kifo nchini pakistani tuone kama kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya.
Mkuu nadhani ww ndo unaongea mambo kwa mujibu wa maneno ya vijiweni.
Tena hao gougle ndy waongo namba Moja,
Nenda search Dubai hukumu ya madawa nn?
Watakwambiya kunyonga lakini Kila siku watu wanakamatwa na baada ya muda utawaona uraiani.

Mimi nakueleza kitu kupitia experience ya kuona na sio mitandaoni..

Labda nikwambiye kitu.

Msafiri yeyote mzoefu wa madawa ya kulevya kabla hajasafiri inchi husika kwanza lazima ajiridhishe adhabu ya kifungo inchi husika anayokwenda nn?.

Wachana na mambo yan gougle tafuta mtu aliyefungwa inchi hizo utawaona kibao hapo nyumbani.

Japan ukiingia gougle utaona anafungwa maisha au kifo lakini reallity unakula 20 miaka Hadi 25 upo nyumbani.

Singapore
Malaysia
Saud Arabia
Vietnam
Indonesia
China

Hapo usichezee mkuu
 
Sasa kama Airport tu umewekewa bango kama hili unategemea nini😃
1000029123.jpg
 
Back
Top Bottom