Yaani Rizone abebe sembe kama punda kwenda china??? Story za vijiweniUnaweza kutuambia wale wachina wanaobeba gesi kule Mtwara wanabeba kwa mkataba upi? Hivi hujui kuwa ngada asilimia kubwa inayoingia nchini ni biashara ya born town? kwa kifupi wewe ndio hujui kitu. Kina kisa cha maafisa wa TRA na Police waliokama gari imejaa ngada, katika kuiwakilisha wakachomoa kiasi kadhaa, uliza afisa vipenyo walichowafanya katika harakati ya kurudisha mzigo uliopigwa baada ya mwenye mzigo kudai mzigo uliokamatwa sio uliowakilisha wakati wanamkabidhi mzigo wake. Kama unaenelea kubisha fika kota za TRA Kurasini ulizia kisa cha Afisa mapato aliefia lupango kilikuwa je na mzigo ulipatikana wapi na nani aliupata?