RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
1. Uniform na mahitaji mengine ya elimu kama daftari, kalamu etc.Namba 3 elimu utolewa bure bila malipo kinachowazuia watoto kwenda shule ni nini ?.....
Mtoto huishia miaka 17 na miezi 11.Chekechea huanza miaka minne na tunategemea hadi miaka 17 awepo katika taasisi za elimu zinazomuhusu kiumri au kiuwezo.Tuanze hapa kwanza, Mtoto asiyeenda shule wamesema anaanzia miaka mingapi?
Unadhani nini kinachangia uwepo wa hilo tatizo ?Mabolozi wa mitaa kwa kushirikiana na TAMISEMI,washirikiane kuhakikisha kila mtaa watoto wa shule wote wanakuwa shule!
Hela za visheti na kababuNamba 3 elimu utolewa bure bila malipo kinachowazuia watoto kwenda shule ni nini ?.....
Watoto huwa wana akili za kumjaribu mtu na uvivu.Usimchekee mtoto asiyetaka kuamka asubuhi kwenda shule.Mfurushe aende shule haraka.Hela za visheti na kababu
Kwa Tanzania bado sijakubaliana. Watoto wengi sana wanaenda shule, labda effect iwe kuanzia kidato cha kwanza hadi nne hapo yaweza kuwa sahihi. Lakin elimu ya msingi hatuwezi kuwa na idadi hiyo.Wakuu,
Hivi karibuni, Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO limetoa ripoti mpya inayoelezea kwa undani idadi ya watoto ambao wanastahili kuwepo shuleni lakini kwa sababu tofauti tofauti hawapo shuleni.
Soma pia: Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)
Kulingana na ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), watoto na vijana milioni 244 wenye umri wa miaka 6 hadi 18 duniani kote bado hawajapata elimu, na takriban shule 14,300 zimefungwa katika nchi 24 za Afrika kufikia Juni 2024 kulingana na Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC).
Ripoti hiyo imezitaja nchi kama Burkina Faso, the Democratic Republic of Congo, Cameroon, Chad, Nigeria na Niger kama nchi zinaozoogoza kwa kuwa na watoto wengi wasioenda shule huku umasikini ukitajwa kuwa ni sababu kubwa inayopelekea watoto kukosa kwenda shule.
And yes Tanzania pia ipo.
Kulingana na ripoti ya UNESCO hizi ndio nchi zinazoongoza kwa kuwa na watoto wengi wasioenda shule Afrika:
Source: Business Insider Africa, Unesco
- Nigeria – 18.18M
- Ethiopia – 11.1M
- Tanzania – 6.42M
- DR Congo – 6.17M
- Sudan – 5.6M
- Niger – 5.5M
- Uganda – 4.9M
- Angola – 3.9M
- Burkina Faso – 3.4M
- Mali – 3.1M
Kwa hiyo hapa Tanzania kuna watoto Milioni 6 hwaendi shule, hawa watoto huwa wanafanya nini huko mitaani kama hawaendi shule? Elimu si bure?
Umezingatia neno "watoto" wakati unasoma?Kwa Tanzania bado sijakubaliana. Watoto wengi sana wanaenda shule, labda effect iwe kuanzia kidato cha kwanza hadi nne hapo yaweza kuwa sahihi. Lakin elimu ya msingi hatuwezi kuwa na idadi hiyo.
Tanzania shule za serikali chekechea ni kuanzia miaka 5. Mpaka hapo kuna hizo takwimu hazija-account for hili sUala..Mtoto huishia miaka 17 na miezi 11.Chekechea huanza miaka minne na tunategemea hadi miaka 17 awepo katika taasisi za elimu zinazomuhusu kiumri au kiuwezo.
Wanaona bora walime na kufuga na wa mjini kuomba omba. Elimu ingekuwa na mvuto hakuna mtu angelazimishwa kwenda au kupeleka mtoto shule.Namba 3 elimu utolewa bure bila malipo kinachowazuia watoto kwenda shule ni nini ?.....
Amekwisha Ng'ata MbaoNamba 3 inashangaza nini sasa wakati hiyo kawaida tu
Umlaumu kwa kipi sasa nchi imepanda kuwa nafasi ya tatu 3. Tumsaidie kuipandisha iwe pale juuTumlaumu Samia? Au
Huko hawaachi!Sipingi.
Mwezi wa kwanza watoto wataanza form one, shuleni wanaweza report wanafunzi 200, wakifunga mwezi wa 4, wanafunzi 10 hawarudi shuleni. Mpaka wanamaliza form four wanakuwa wanafunzi kuanzia 40-80.
Hii hasa ni kwa shule za vijijini hasa usukumani, sijajua kwa maeneo mengine.
Aaah wapi, Tz haipoWakuu,
Hivi karibuni, Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO limetoa ripoti mpya inayoelezea kwa undani idadi ya watoto ambao wanastahili kuwepo shuleni lakini kwa sababu tofauti tofauti hawapo shuleni.
Soma pia: Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)
Kulingana na ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), watoto na vijana milioni 244 wenye umri wa miaka 6 hadi 18 duniani kote bado hawajapata elimu, na takriban shule 14,300 zimefungwa katika nchi 24 za Afrika kufikia Juni 2024 kulingana na Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC).
Ripoti hiyo imezitaja nchi kama Burkina Faso, the Democratic Republic of Congo, Cameroon, Chad, Nigeria na Niger kama nchi zinaozoogoza kwa kuwa na watoto wengi wasioenda shule huku umasikini ukitajwa kuwa ni sababu kubwa inayopelekea watoto kukosa kwenda shule.
And yes Tanzania pia ipo.
Kulingana na ripoti ya UNESCO hizi ndio nchi zinazoongoza kwa kuwa na watoto wengi wasioenda shule Afrika:
Source: Business Insider Africa, Unesco
- Nigeria – 18.18M
- Ethiopia – 11.1M
- Tanzania – 6.42M
- DR Congo – 6.17M
- Sudan – 5.6M
- Niger – 5.5M
- Uganda – 4.9M
- Angola – 3.9M
- Burkina Faso – 3.4M
- Mali – 3.1M
Kwa hiyo hapa Tanzania kuna watoto Milioni 6 hwaendi shule, hawa watoto huwa wanafanya nini huko mitaani kama hawaendi shule? Elimu si bure?
6. Hali duni ya maisha kiasi kwamba nyumbani hakuna msosi, hivyo bora kwenda kibaruani1. Uniform na mahitaji mengine ya elimu kama daftari, kalamu etc.
2. Shule kuwa mbali na makazi.
3. Watoto kujihusisha na shughuli za uzalishaji mali kama uvuvi, kuchunga ng'ombe n. k
4. Mwamko mdogo wa wazazi na jamii kuhusu elimu
5. Kukosekana kwa walimu na vifaa vya kujifunzia hivyo watoto wanaona ni kama wanapoteza muda wao
Kule kule walikotoa data za kwamba tumeingia uchumi wa katiMmh..hizi data wanatoa wapi?