Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
 
Kumbe hata majina ya waimbaji huwajui kaaa kimya tu unaonekana umesikiliza wimbo mara moja
Mkuu wimbo mzuri haihitaji uisikilize mara mbili,tatu,nne,tano.......,wimbo mzuri utaupenda ndani ya dakika moja tu.kana unauelewa wimbo hadi usikilize mala mbili mbili basi wewe hujui muziki mzuri bali unaangalia upepo
 
Embu Tuanzie hapa.wewe ili kuupenda wimbo au kujua wimbo huu ni mzur au mbaya ni vitu gani huwa unaviangalia?

NB:wewe sio mtu wa mziki kama unaichukulia mpka nyimbo ambayo huijui.
Naangalia radha kwanza,mashairi sizingatii maana hata dovido anaimba kinigeria ambacho sikijui ila huwa napenda radha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…