Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
nakusupport kwenye nyimbo Kijuso ic hii nyimbo na mimi siipendi kabisaaaaaaaaaaaaa
 
Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
[emoji23][emoji23][emoji23]hizi chuki binafsi sasa yaani hadi Muziki ya darassa [emoji13]
 
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
waya ya joh makini ni ngoma mbaya munooooo
 
mzee, ukiona hata asiyejua muziki amestuka kuwa kuna vitu vingine ni boko, ogopa sana........kuwa 'Unga wa ndere' hauna nguvu tena bila juhudi binafsi
Wabongo tunaongoza kwa kujifanya wajuaji! Hata kwa tusiyoyajua!
 
sasa nyimbo zenyewe huzijui halafu unatuandikia utumbo hapa we vipi, Ngoma ya Joh makini imesimama vizuri tu labda kama ww ni mbana pua, nyimbo ya chege AY hazina tatizo pia hata ya Ray kijuso haina tatizo tena wadada wanaishobokea sana tu
 
Tuonyeshe WA kwako ulioutunga ambao ni mzuri ndo uje ukosoe za wengine kinyume na hapo ni wivu wa kike
 
hpo koooote sawa... ila hpo kwa madee mkuu embu jaribu kufikir upya
 
Huwa najiuliza logic ya kubamba ngoma ya mziki from darasa..... Cjuibna ctojua coz ukizinamba ngoma za darasa kuna pini nzuriiii na logical zaidi ya "mziki"
 
Ni haki yako kikatiba kutoa maoni...
 
Back
Top Bottom