Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bongo flava ujanja ujanja mwingi kuna watu kama chege mifumo inawabebaKumbe tupo wengi tusiomuelewa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti kama sina hela...we ni mwanamke so sishangai,wanawake mnapenda manyimbo ya ajabuajabu sanaMadee - Hela ni wimbo mzuri labda kama wewe huna hela ndo unaweza ukachukia
Katika ngoma mbovu,hii Joh kazingua sana,ni mbovu kupitilizaNilikuwa namheshim mshkaji sana ila huo waya wake umenifanya nimpuuze. Anaimba mambo ya ujinga kwa style za kijinga na kwa sauti na melody za kijinga
wimbo mbovu sana huo, unaweza fananisha na moyo mashine??Wimbo mzuri baada ya ule wa Darasa ni PHONE wa Ben Paul
Moyo mashine ni wimbo wa level zingine mkuu. Utaendelea kuwepokuwepo kwa miaka mingi mbelewimbo mbovu sana huo, unaweza fananisha na moyo mashine??
Kwa sababu wametumia sana english [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mary me ya diamond kila nikiskiliza sielewi kwa kweli ngoja nisubirie atoe nyingine
Munich [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Duh!umenichekesha sana mzee baba,habari za Munich lakini!
ni kweli wimbo wa ben paul mzuri .Wimbo mzuri baada ya ule wa Darasa ni PHONE wa Ben Paul
Daaah,ila muziki bhana.kila mtu na taste yake.mimi bora hata PHONE kuliko moyo mashine.huwa ikiwa ni redio naisikiliza wakipiga moyo mashine huwa nabadilisha stationwimbo mbovu sana huo, unaweza fananisha na moyo mashine??
True datsizipendi nyimbo zote za bongo fleva napenda zilipendwa mpaka leo unasikia utamu wa nyimbo hao bongo fleva wakiimba mpaka washike sehemu za siri ndio style yao wanaboa ovyo
Mimi huwa naupenda au kuuchukia wimbo kwa mala ya kwanza ninapousikilizani kweli wimbo wa ben paul mzuri .
Anachosema mleta mada ni cha kweli wimbo kama ni mzuri ukipigwa mara ya kwanza uta ujuani mzuri .
Kama ule wa Darasa Too much mi nilisikiliza mara ya kwanza nikaona upo vizuri, nikamuuliza mshikaji wangu nani kaimba akasema darasa nika muuliza darasa huyuhuyu anaezeekea gemuni bila kuwa na hit song kasema ndio yeye nikasema huu amewin
Anaitwa darasa sio darrasa angalia hata youtube anaandikajeUnata kusema mwenye jina lake alikosea ila wewe ndio umepatia?
unaposema "kupitiliza" unatumia vigezo ganiKatika ngoma mbovu,hii Joh kazingua sana,ni mbovu kupitiliza