Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Kweli hizo nyimbo hazijabamba sana.
 
Jamani niwe miwazi mi wimbo wa Waya wa joh makini naupenda hasa mdundo wake na chorus

Pia wimbo wa Toyo naupenda chorus anapoimba kiganda ila mashairi hapana hasa anapoimba sijui wanasema demu wangu malaya hapo ndo naziba masuko .

Ila video zote Yono na Waya ni nzuri
 
Darasa ft Ben Paul muziki sijui unabebwa au mganga wake kafanya kazi imara mana unavyopendwa sioni cha kufanya upendwe kwa kiasi hicho.
 
Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
 
Ungetunga zako badala ya kudis wenzio!
 
Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Chukua tano hizo[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] hata mimi nimeshindwa kuzipenda hizi
 
mnh ngoja nipite maana hata ukisema naupenda huu, na huu siupendi haisaidii kitu wala haikuongezei chochote, cha zaidi sana unamsaidia kumpa promo na kumtafutia wasikilizaji. mwenzio anazidi kuvuta mahela.

ila kiukweli haters nao wanamchango mkubwa sana kwa wasanii, na wao washukuriwe
 
kama hujanielewa huwez kunielwa hv ww wimbo mzur ni ulioje?
 
Mkuu nimependa jibu lako
 
Mkuu hela ndio umeimbwa

Nyinyi wadada wa mjini /Mnauza chini /mnataka nini / helaaaa

Hainingii akilini /chunvini Mimi/ alafu nikupe hela
 
Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
nakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.
 
Kwa hiyo wimbo ukipendwa na Fid Q ni lazima uwe mzuri? Akili za usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati Fid Q mwenyewe hajui Muziki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we msanii gani unachokiimba hata wewe mwenyewe haukielewi? kaah!!![emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu hii list ni kweli ina nyimbo mbovu ila hela ya madee ni nzuri kushinda phone ya ben pol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…