Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
Duuuh[emoji53] nimegomaWimbo mzuri baada ya ule wa Darasa ni PHONE wa Ben Paul
nakusupport kwenye nyimbo Kijuso ic hii nyimbo na mimi siipendi kabisaaaaaaaaaaaaaHabari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).
1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako
NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
[emoji23][emoji23][emoji23]hizi chuki binafsi sasa yaani hadi Muziki ya darassa [emoji13]Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
waya ya joh makini ni ngoma mbaya munoooooHabari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).
1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako
NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Wabongo tunaongoza kwa kujifanya wajuaji! Hata kwa tusiyoyajua!mzee, ukiona hata asiyejua muziki amestuka kuwa kuna vitu vingine ni boko, ogopa sana........kuwa 'Unga wa ndere' hauna nguvu tena bila juhudi binafsi
[emoji134] [emoji23]Kuna wasanii wanatoa nyimbo lakini hata wao wenyewe wanashindwa kusikiliza halafu wanataka sisi ndo tuzipende. Kama hiyo Yono sijui kama Dully anaweza kukaa geto akaisikiliza
[emoji2] [emoji2] [emoji39] [emoji39] na kwelikama hujaielewa hata waya ambayo legendary wa hiphop (fid q) ameusifia basi endelea kusikiliza singel
Ila ndo hivyo tena huo wimbo utapewa sana promo mpakaMary me ya diamond kila nikiskiliza sielewi kwa kweli ngoja nisubirie atoe nyingine