Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Sina tatizo na yeye kuacha mziki, wasiwasi wangu ni kusema mchizi kamtoa shimoni ambapo alikuwa anahamngamia.

Kwasasa tayari mwamba ameshajua udhaifu wa bibie, kwamba katokea kwenye dhiki, kapitia majaribu na shida nyingi kwenye mziki wake usiompa faida.

Kwa jinsi wanaume wa Kiafrika tulivyo, huwa tunatumia udhaifu kama huo kunyanyasa wanawake.

Sasa Mchizi akimkataa mbeleni bibie atakwenda wapi? Atafanya nini?
Vanessa mdee ajatokea kwenye dhiki mkuu
 
Back
Top Bottom