appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
- Thread starter
-
- #21
Unabisha kitu usichokijua, kama ni ishu ya mistari yenye matusi ulaya wanaongoza sana kwa kutukana kwenye nyimbo zao. Na hao unaowahisi wewe ya kuwa wanauza albamu zao kwa ulaya huwezi kusikiliza nyimbo zao ukakosa maneno kama ----, Bitch, dick n.k hicho ni kitu cha kawaida katika mistari ya wasanii nguli wa hiphop ambao kwa mujibu wa habari inaonekana wanauza. Ukianzia rick ross, Lil wayne, Jay z, nick minaj, Eminem 50 cent, kanye, snoop na wengineo na isitoshe wanafikia mpaka kusifia matumizi ya mihadarati na madawa ya kulevya.
Tena wameenda mbali zaidi kwa kuwa wanatoa version mbili za single moja i.e Radio version na dirty version. Kuhusu mfano wa R.O.M.A uloutolea, hiyo issue ni kweli na inafahamika kuwa kipindi cha miaka ya nyuma hizo issue zilikuwa zinafanywa sana. Kwamba umeme unazimwa ili tukio la ujambazi lifanyike ama mzigo wa magendo upitishwe.
So conclussion kwa upande wangu ni kwamba kila mtu kuna anachokipenda katika muziki. Wengine hupenda Lyrics, wengine hupenda beats, wengine hupenda kuangalia stage shows wakicheza. Na pia tunapenda aina mbalimbali za music, kuna wanaopenda Reggae, jazz, hiphop, RnB n.k So usichokipenda wewe kwenye Hiphop, kuna wanaokipenda. Na kila biashara ina mteja wake. Kwani hao wakina Jay z wenye mauzo makubwa ilhali wana nyimbo zenye matusi maanake wanaonunua hizo nyimbo wanapenda wanachokisikia ndio maana wananunua album zao.
Kwa bongo issue sio wimbo ama matusi kwenye wimbo, issue ni kuwa muamko wa hiphop hamna ama hakuna.
umesema wanatoa versiom 2 umeona walivyokua na akili hao wenzenu ila nyinyi mnatoa 1 ya matus