hizi ndio sababu zinazofanya hiphop isiuze bongo

hizi ndio sababu zinazofanya hiphop isiuze bongo

Unabisha kitu usichokijua, kama ni ishu ya mistari yenye matusi ulaya wanaongoza sana kwa kutukana kwenye nyimbo zao. Na hao unaowahisi wewe ya kuwa wanauza albamu zao kwa ulaya huwezi kusikiliza nyimbo zao ukakosa maneno kama ----, Bitch, dick n.k hicho ni kitu cha kawaida katika mistari ya wasanii nguli wa hiphop ambao kwa mujibu wa habari inaonekana wanauza. Ukianzia rick ross, Lil wayne, Jay z, nick minaj, Eminem 50 cent, kanye, snoop na wengineo na isitoshe wanafikia mpaka kusifia matumizi ya mihadarati na madawa ya kulevya.

Tena wameenda mbali zaidi kwa kuwa wanatoa version mbili za single moja i.e Radio version na dirty version. Kuhusu mfano wa R.O.M.A uloutolea, hiyo issue ni kweli na inafahamika kuwa kipindi cha miaka ya nyuma hizo issue zilikuwa zinafanywa sana. Kwamba umeme unazimwa ili tukio la ujambazi lifanyike ama mzigo wa magendo upitishwe.

So conclussion kwa upande wangu ni kwamba kila mtu kuna anachokipenda katika muziki. Wengine hupenda Lyrics, wengine hupenda beats, wengine hupenda kuangalia stage shows wakicheza. Na pia tunapenda aina mbalimbali za music, kuna wanaopenda Reggae, jazz, hiphop, RnB n.k So usichokipenda wewe kwenye Hiphop, kuna wanaokipenda. Na kila biashara ina mteja wake. Kwani hao wakina Jay z wenye mauzo makubwa ilhali wana nyimbo zenye matusi maanake wanaonunua hizo nyimbo wanapenda wanachokisikia ndio maana wananunua album zao.

Kwa bongo issue sio wimbo ama matusi kwenye wimbo, issue ni kuwa muamko wa hiphop hamna ama hakuna.

umesema wanatoa versiom 2 umeona walivyokua na akili hao wenzenu ila nyinyi mnatoa 1 ya matus
 
non sense ungekuwa unajua historia ya hip hop usingeongea hivi!!

hiphop kibongo ni uhuni uchafu lugha mbovu na utovu wa nidhamu utafikiri m2 mzima atanunua albam yako kweli
 
umesema wanatoa versiom 2 umeona walivyokua na akili hao wenzenu ila nyinyi mnatoa 1 ya matus

Inaonekana wewe husikilizi hiphop na sio mpenzi wa hiphop. Na kama unasikiliza utakuwa hufuatilii lyrics vizuri. Nakupa task tuu kadownload nyimbo yoyote ya lil wayne, Eminem, Birdman, Nick minaj, kanye west n.k radio version kama utakosa tusi.

Kukusaidia nakupa baadhi ya nyimbo na zilihit na ni nzuri pia, tafuta lyrics usome uone maneno yanayoongelewa hapa then urudi.

Lil wayne ft Rick ross - John.
Rick ross ft wale & Drake - Diced pinnaple.
Nicki minaj - stupid hoe.
Jay Z ft kanye - OTIS.
 
ni uhuni wa kutukana kwenye nyimbo kuvaa nguo chini ya makalio na uchafu kwa ujumla

kaka jiheshimu basi usitake kupoteza maana na utamaduni wa hip hop kwa uelewa wako mfupi nivigumu kielewa hip hop wakati huijui hujui madhumu na uwasilishaji wake....... comment zako zinaonesha ulvo na ubongo mgando
 
hiphop is legacy that lives,tatizo sio matusi,ishu ni kua kwa tz,mkono mmoja ukibana pua na mkono mwingine ukishika mic na kuimbia mademu ndo utapendwa,hiphop ni utamaduni,si nyimbo zote za hiphop ni matusi,sikilizeni mistari ya nyimbo za hiphop mpanue ubongo.
 
Wasanii wanauza sura si tunauza maneno"kurap mbona wanarap tu hata waimba mayenu"hip hop iko na sisi appoh acha ukhanithi"chukua time kidole juu ww!
 
hiphop mbele bwana msanii msafi mistari mizuri sio bongo hapa kuna siku joh makini alipanda kwenye jukwaa kuchukua tuzo yake huku suruali ipo kwenye makalio kwa chini mpaka akaomba radhi.madee na juma nature walitoka kwenye hiphop huko ndio asili yao hata snoop katokea huko but leo anaimba umenipata mwana hiphop wasanii wa hiphop ndio wanaongoza kwa kupiga mizinga kama lord eyez

wee acha ushamba angalia tuzo za bet mton then ndo umlaumu joh makin kwa kupiga mlegezo .sipotez mda wangu ktk nyuz ya kishamba kma hii coz muanzishaj ni boya na hajui hiphop ni kitu gan but anakurupuka tu akijua nyuz itapata post kibao !!!!fanya yko achana na hiphop coz utakalia mua mda c mrefu il ujue hiphop ni nn .....lione !!!!!!
 
Mtoa Thread ni ch*ko,ch*ko na Hiphop wapi na wapi?We endelea kubana pua
 
Kuigaiga mambo wasiyoyaelewa pia..mfano unakuta msanii wetu kavaa koti la baridi wakati wa jua..ukimuuliza eti hiphop...kiufupi bongo hakuna hip hop.
me hoi wanavaa miwani ya jua usiku..
 
hiphop mbele bwana msanii msafi mistari mizuri sio bongo hapa kuna siku joh makini alipanda kwenye jukwaa kuchukua tuzo yake huku suruali ipo kwenye makalio kwa chini mpaka akaomba radhi.madee na juma nature walitoka kwenye hiphop huko ndio asili yao hata snoop katokea huko but leo anaimba umenipata mwana hiphop wasanii wa hiphop ndio wanaongoza kwa kupiga mizinga kama lord eyez
utakuw humjui matonya na shetta
 
hiphop aiuzi na maana albam na wasanii kupata show nying pamoja na brand ya msanii kuna siku roma alikua anaongea kua walikua nyumbani na mama yake ikapigwa nyimbo ya barnaba mama yake akawa anaimba ikaja nyimbo ya roma mama akasema ebu punguza sauti mbona kelele
Kweli hamnazo unafikiri kuwa mama yake ndo lazima afuatilie hip hop kwahyo unataka kusema mtoto akivaa gwanda na mama Mzazi atajitahd kupenda gwanda ili amfurahishe mwanae
 
Km unaona hiphop hailipi wee komaa na wabana pua
Ova
 
Kikosi waliishia wapi na beef zao na bongo flava
 
Back
Top Bottom