Hizi ndio Salute za kijeshi duniani

Ikatokea ukakaidi kupiga salute kipi kitafuata?
Maana kuna watu nawaonaga hwapigiana wanapotezeana t
 
Ikatokea ukakaidi kupiga salute kipi kitafuata?
Maana kuna watu nawaonaga hwapigiana wanapotezeana t
Hapo wanapotezeana kama wako na rank sawa afu hawajuani ila kama wanajuana junior atampigia salute senior hata kama mna rank sawa.

Lasivyo utakula kazi
 
mbona scout wana salamu za tofauti na majeshi yetu (jkt,jwtz na police )



Nilikuwa naongelea jeshi.Sio police wala scout ,pia nilikuwa naongelea jeshi Kwa ujumla na wala sio jwtz wala jkt
 
indonesia & Switz nmewakubali[emoji23][emoji23][emoji23] asa mbona hujaweka salute zetu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…