NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
YakoboleweI salute you
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YakoboleweI salute you
![]()
[emoji2] [emoji2] sana mkuu tupe chenja moja mkuu unayoipenda au kuikumbukaMkuu unapenda sana chenja
Mkuu ile chenja ya aidama yoyoyooo niliimba nikiwa na miaka miwili enzi hizo karakata aisee kwenye ile michezo ya kitoto na nilikuwa naipenda sana sana .Siku nilipoenda jeshini ikaanzishwa na mwili wote ukaanza kusisimka baada ya kuanza kuwakumbuka kina Latipha na wengine kibao niliokuwa nacheza nao Aidama utotoni .Ndio ilikuwa best chenja yangu ile mkuu[emoji2] [emoji2] sana mkuu tupe chenja moja mkuu unayoipenda au kuikumbuka
CadetAhaaaa...umenikumbusha mambo ya TMA wiki 6bila kulala...ahaaaa six week never forgettable
Hakuna kitu kama hiki au labda waliokutana wote ni other ranks ( non- commissioned ranks). Salamu ya saluti itapigwa na kuongozi wenu (sio wote) kama mpo wengi kumsalimia ofisa wa kuanzia nyota moja/ second refnant na kuendeleaIkatokea ukakaidi kupiga salute kipi kitafuata?
Maana kuna watu nawaonaga hwapigiana wanapotezeana t
Hapana mkuu, kama rank ni sawa yeyote anaanza kumsalimia mwenzake, hii ni kwa wasiotambuana kuwa yupi ni ofisa senior kati yao. Kutambuana baadaeHapo wanapotezeana kama wako na rank sawa afu hawajuani ila kama wanajuana junior atampigia salute senior hata kama mna rank sawa.
Lasivyo utakula kazi
Hii itakuwa siku ya utambulisho kombania na especially hangani. Mpaka kufikia intro ili muanze 6 weeks kidogo unakuwa ushaibia lonja mambo madogo madogo unakuwa ushayafahamu.Hapa itakua siku ya intro au ndani ya 6 weeks kuruta kavurugwa
Usiombe ukutane na sameja mnaaaHii itakuwa siku ya utambulisho kombania na especially hangani. Mpaka kufikia intro ili muanze 6 weeks kidogo unakuwa ushaibia lonja mambo madogo madogo unakuwa ushayafahamu.