Hizi ndio Salute za kijeshi duniani

[emoji2] [emoji2] sana mkuu tupe chenja moja mkuu unayoipenda au kuikumbuka
Mkuu ile chenja ya aidama yoyoyooo niliimba nikiwa na miaka miwili enzi hizo karakata aisee kwenye ile michezo ya kitoto na nilikuwa naipenda sana sana .Siku nilipoenda jeshini ikaanzishwa na mwili wote ukaanza kusisimka baada ya kuanza kuwakumbuka kina Latipha na wengine kibao niliokuwa nacheza nao Aidama utotoni .Ndio ilikuwa best chenja yangu ile mkuu

Ila ile wanasema kinate kinaunguruma nilikuwa siipendi mno
 
Ikatokea ukakaidi kupiga salute kipi kitafuata?
Maana kuna watu nawaonaga hwapigiana wanapotezeana t
Hakuna kitu kama hiki au labda waliokutana wote ni other ranks ( non- commissioned ranks). Salamu ya saluti itapigwa na kuongozi wenu (sio wote) kama mpo wengi kumsalimia ofisa wa kuanzia nyota moja/ second refnant na kuendelea
 
Hapo wanapotezeana kama wako na rank sawa afu hawajuani ila kama wanajuana junior atampigia salute senior hata kama mna rank sawa.

Lasivyo utakula kazi
Hapana mkuu, kama rank ni sawa yeyote anaanza kumsalimia mwenzake, hii ni kwa wasiotambuana kuwa yupi ni ofisa senior kati yao. Kutambuana baadae
Wenye kawaida ya kupotezeana ni hawa wa other ranks ila si utaratibu.
 
Hapa itakua siku ya intro au ndani ya 6 weeks kuruta kavurugwa
Hii itakuwa siku ya utambulisho kombania na especially hangani. Mpaka kufikia intro ili muanze 6 weeks kidogo unakuwa ushaibia lonja mambo madogo madogo unakuwa ushayafahamu.
 
Ahksante mleta Uzi, topic yako very fantastic
Ila naongezea tu Pia Kuna ile ambayo ipo common wealth Maana Sie tunazitumia! endapo askari wa chini hajavaaa kofia, hata akiwa kiraia anabana mikono kwa ukakamavu, na endapo Ana salute to very high officer atapiga na miguu chini!! lakini Pia Kuna ile salute askari akiwa ameshika silaha let say Kwa mbele kushoto then salute ataweka kiganja cha mkono wa kulia
 
Hii itakuwa siku ya utambulisho kombania na especially hangani. Mpaka kufikia intro ili muanze 6 weeks kidogo unakuwa ushaibia lonja mambo madogo madogo unakuwa ushayafahamu.
Usiombe ukutane na sameja mnaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…