Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Sawa Bwana Mkubwa hebu niambie kati ya hao 35,000, aliowaajiri kwenye Kilimo pekee kwa mikataba ni wangapi na vibarua ni wangapi?
Nipe majibu ili nikupunguzie hiyo mipasho yako mana nilikuwa nakuvuta uje huku!
we utopolo una matatizo/..hebu malizia kahawa hapo kijiweni kwako..mi nakupa reference ya source kubwa kama cnn we unaleta ujuaji..wabongo bana
 
bro umemaliza naomba hii thread tuishie hapa
 
we utopolo una matatizo/..hebu malizia kahawa hapo kijiweni kwako..mi nakupa reference ya source kubwa kama cnn we unaleta ujuaji..wabongo bana
Nilijuwa tu kuwa hutafika mbali, siku zote mwenye hoja hawezi kuongea na Mipasho ya Kike kama hiyo..,
 
Sawa Bwana Mkubwa hebu niambie kati ya hao 35,000, aliowaajiri kwenye Kilimo pekee kwa mikataba ni wangapi na vibarua ni wangapi?
Nipe majibu ili nikupunguzie hiyo mipasho yako mana nilikuwa nakuvuta uje huku!
sehem gani nmesema anaajili watu 35,000 kwe kilimo..utakua una mimba changa unataka zaa..haya bishana na hizo figures basi .
Some figures on the MeTL Group

– Active in 12 African countries, particularly in the eastern and southern regions of the continent.
– From $ 30 million in 1999, the group has seen its turnover climb during the last 20 years. It is estimated at 1.5 billion dollars currently, which represents more than 3,5% of Tanzanian Gross Domestic Product (GDP).
– He is considered the second largest Tanzanian employer after the state. More than 35,000 people work for this company today.
– This conglomerate is present in various sectors such as agriculture, oil, light manufacturing, real estate and even insurance, to name but a few.
 
Mkuu hizo sehemu alizowekeza Mwamedi ni zipi ambazo zinampa Mpunga kuliko Mzee Bakharesa!
Pale msimbazi sports ♣ natania tu mkuu, japo jamaa mfadhili wetu hawezi gusa level za maalimu bakheresa
 
Sawa Mkuu
Mkuu siku zote Mjenga hoja huwa anakuja na lugha ya staha, huwezi kufanya Mjadala kwa lugha za kipashikuna namna hiyo..,
Isitoshe usiniletee hayo mavitu yako ya copy & paste!
Nmekuuliza kati hizo ajira 35,000, ajira alizozitoa kwenye Sekta ya Kilimo ni ngapi?
Badala ya kujibu unakuja na Mipasho!!!
 
KW
Kwani Ummy mwalim ametoa ajira ngapi sekta ya kilimo au wewe umeajili wangapi hiyo sekta..usimpangie mtu uwekezaji wa pesa yake
 
KW

Kwani Ummy mwalim ametoa ajira ngapi sekta ya kilimo au wewe umeajili wangapi hiyo sekta..usimpangie mtu uwekezaji wa pesa yake
Nilijuwa tu kuwa ww ni Muimba mapambio..,
Wale Vibarua wakulima, kupalilia, na kusuka nyuzi za Mkonge kule kwenye Mashamba yake ya Mkonge ndio unaita ajira?
Ni kweli Pesa anayo ila taarifa nyingi huwa anapika ili kufikia hizo target zake!
 
kwako ajira ni nini?au hadi ukae ofisini na kulipwa mamilioni..ushafuatilia suala la cocoa na watengeneza chocolate huko west afrika....nkasema kama unajihisi unaweza anzisha kiwanda chako umlipe kila mtu mamilioni...wabongo bana...kwahiyo anawapikia taarifa hadi forbes sio.?umekunywa chai kweli wewe utakuja na kusema hata Tanzania tunapika taarifa ndo maana moody foundation imf na world bank wametuweka uchumi wa kati...hamna kitu nachukia duniani kama mijitu hasi..hapo ukute hata hichi kibarua huna
 
Wewe kumuita Mo bloangu mwamedi haikuwa mipasho?
 
Hahahaha traffic watakula wapi sasa? Maana wakikuta iko na mpasuko lazima wale kichwa
Mbona ata bhanji kama sijakosea ana benz ambazo hazina side mirror. Ina bidi waanze kuzoea mabadiriko watafte namna ya kupiga watu ela kivingne
 
Hapa inaweza kuwa kweli mwamedi anavuta mpunga mrefu maana kawekeza sehemu nyingi na kampuni tofauti ila mzee said Salim yeye ni one man show tu
Bakhresa Ana viwanda Malawi, Rwanda, Burundi mpaka south Africa,Nina jamaa zangu hua wanatumwa huko na migari mikubwa yake,said salimu achana nae kabisa.
 
Bakhresa Ana viwanda Malawi, Rwanda, Burundi mpaka south Africa,Nina jamaa zangu hua wanatumwa huko na migari mikubwa yake,said salimu achana nae kabisa.
Hata bwana mwamedi nae kawekeza nje ya Tanzania sana ila nilichokuwa namaanisha hapa mwamedi kawekeza kwenye kampuni tofauti mfano vodacom
 
Kasome Profile ya METL na AZAM Google...muna babika na gari mpya 20 ambazo tukizipendelea kila moja tukasema ina thamani ya 1B sawa na Billion 20 pesa haitoshi hata kiwanda kimoja.
hio gar (horse) ya 1billion ipoje?
Zimekuwa Rv za Marathoncoach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…