Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Madereva kupata ajira kuendesha kwenye kwenye barabara hizi:

Hapana, kuendesha barabara ya njia 8 kimara hadi Kilivya
 
Tuacheni ushabiki ndugu zangu so unataka kunambia mo ana fake utajiri wake? hv tajiri no 1 Tanzania unampima kwa njia gan, hv rostam azizi tuliambiwa kipindi fulani ndo tajiri no 1 bongo hv unaweza kunitajia vyanzo vyake vya mapato?!!!!
Ubunge 😂😂
 
Ila kibiashara sio economy.. maana bei yake moja unapata mchina mbili ambayo kibiashara ni advantage
Hivi operational costs zipoje? Kama unaanua kununua mitambo kama hii kwa ajili ya usafiri ambao unaweza kutumia Howo ya mchina?
Mangi unazingua, umesahau

''Cheap becomes expensive''?

Yaani ununue mchina 2 au hata 3 badala ya scania 1 wakati una uwezo kweli?

Unajua kiburi alicho nacho Saibaba au Kilimanjaro Express for years ni kuwa na magari ya SCANIA, Uhakika wa safari katika milima na mabonde bila kukwama wala bus kucease, sio Youtong za kichina zenye muonekano mzuri lakini zinachemsha na service kila Mara

Scania & Mercedes Benz ni guaranteed. Tofautisha to bus la 200M mchina na scania za 800M.
 
Operational costs ya Youtong au Howo ni kubwa zaidi, u ll notice this with time

Kaa nazo tu baada ya muda kidogo utagundua.
 
Hapana, kuendesha barabara ya njia 8 kimara hadi Kilivya

Kuendesha Kimara - Kiluvya. Ajira za madereva 20. Tunaita tumenufaika kiuchumi. Hali beberu katuuzia malori hayo 20.

Ndiyo maana mwendazake alitaka viwanda. Viwanda vya kutengeneza hayo malori. Ndiyo maana hakuwa na simile na Abood Morogoro.

Hii nchi kweri inaendelea kuchezewa sana na hatuna sababu ya kutembea vifua mbere!

Hiiiiii bagosha!
 
Hata viwanda vya ajira vinatosha kwa sasa
 
Mangi unazingua, umesahau

''Cheap becomes expensive''?

Yaani ununue mchina 2 au hata 3 badala ya scania 1 wakati una uwezo kweli?

Unajua kiburi alicho nacho Saibaba au Kilimanjaro Express for years ni kuwa na magari ya SCANIA, Uhakika wa safari katika milima na mabonde bila kukwama wala bus kucease, sio Youtong za kichina zenye muonekano mzuri lakini zinachemsha na service kila Mara

Scania & Mercedes Benz ni guaranteed. Tofautisha to bus la 200M mchina na scania za 800M.
Yaah naelewa Scania ni imara ila mi naongelea kibiashara... Mfano kama una kampuni ya usafirishaji kuliko uwe na Scania Moja la bei ghali ni bora uwe na howo 2 ndo nnachomaanisha hicho
 
Kuna wanaosema wanatamani kuwa madereva. Sio rahisi hivyo utoke ulipotoka ukakutane na gari mpya. Izo watapewa wakongwe wa kampuni. Then gari zao ndo zitatafutiwa madereva wapya... Alafu pia nina ona mambo ya ajira hapo azam yamekaa ki ukanda sana na udini..... Sio rahisi kupata kazi hapo.
 
Kwanza ajira za madereva wa maroli ni ngumu sana na hazina maslahi.
 
Back
Top Bottom