BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Acha unazi wa kibwege mpumbafu wewe, ile mibajaji na migari ile kwa mtu mwenye akili timamu ni ya kununua!? Gari ikipita unatafuta kivuli kwanza upumzike, maana inatibua ratiba zote za ubongo. Ushaziona gari wanazosambazia Watercom huku mtaani!? Huyo boss wenu anapenda sana vya dezo.Please be serious unataka kunambia mo alikurupuka kununua vile vigari bila kupewa ushauri wowote ule wa kitalamu?!! unakosea sana so ulitaka atumie scania xt model kama hizo za azam kusambaza product kutoka mtaa mmoja kwenda mwingine are you serious na mo hawezi kushindwa kununua scania kama hizo za azam coz unamuongelea mmoja kati ya matajiri wadogo barani africa alafu na hizo scania XT MODEL mbona matajiri wengi wanazo heven asas anazo kibao na hata matajiri wa kawaida tu wanazimiliki mfano manyanya oil wa mbeya though yeye ni XT MODEL P320 coz abebi mzigo mzito na safari zake ni fupi fupi like dar-mbeya so be polite and smart enough unapokuwa unamzungumzia mtu kama mo!!!!!!!